How do I let her go?

I did that!

And she is now dead! She poisoned herself 2 months later! Its not that easy!

John take her one step back at a time! Then you end it!

You have said it right man!

John should not associate himself with someone's death! It's a sin for God's sake.
 
Nimekuwa naye kwa muda mrefu sasa... Tunaitana marafiki, lakini ki-ukweli; tunajua ni zaidi ya marafiki... tuna-behave kama wapenzi...
Lakini imefika wakati, ambapo inabidi nimwache... Ishu ni kwamba sijui nimwacheje! Naogopa kumuumiza...
Nisaidieni wajameni!!! :confused::confused::confused:

Mie ninavyo ona hata relationship yenu sio clear...mnaitana marafiki lakini mna-behave kama wapenzi... have u ever talked about ur relationship? what do u call this relationship exactly? have u spoken about your future?
 
hilo ndo tatizo nilionalo mie pia, ni kama mmoja sijui ndo anaona wako kwenye mapenzi na mwingine urafiki wa kawaida au wote wanficha hisia zao za mapenzi (inwardly they have that) na kujifanya kw anje kuwa wao ni 'just friends' with no benefits............
 
Kweli lakini i think its very immature kuwa na that kind of relationship..... kama hakukuwa na any serious love relationship, I dont see the point of having a break up.... au labda hatujamfahamu muanzisha mada...
 
That's why It becomes so tricky to leave her...
Nimeshawahi simuliwa na marafiki zake, na hata siku moja nilibahatika kuipata diary yake... She loves me so so so much, and expects a lot from me...
So, kwasababu tayari nilikuwa nshayajua haya, Is there a need to be called lovers??? (Nikajua tayari kuwa ananipenda zaidi ya rafiki)
 
n awewe ulijisikiaje kwake? nisije nikakulima hukuma na kumbe huna hatia....
 
In short; yeye ndo ananisubiri ni-make the first move on her... but I just can't do it now...
Siwezi nikamwambia kuwa; "I just took her as a friend..." sababu itakuwa ni uongo...
I once felt love for her too, but I just don't feel that for her anymore... Sitaki kumpotezea muda wala kumuumiza...
 
Back
Top Bottom