How do i import onions from Tanzania legally?

kasupuu

New Member
Oct 6, 2010
3
0
Am a kenyan lady who would like to start importing onions from Tanzania for onward export to southern sudan. Where are they grown and how can i do a clean business without exploiting anyone? Am ready to work with a trustworthy Tanzanian woman who is conversant with the sourcing. I have discovered in this forums that Tanzanians are very keen to get value for their produce. Any idea on any other food items produced there in plenty that we can get market for in kenya or south sudan is wellcome. My email is moraph1978@gmail.com

Please view this in the spirit of east african community cooperation.
 
Jaribu kuwasiliana na cheusimangala kuna post alishauri vizuri kuhusu source na kilimo cha kitunguu
 
Jaribu kuwasiliana na cheusimangala kuna post alishauri vizuri kuhusu source na kilimo cha kitunguu

Haya dada Cheusi tenda hiyo ya mdada mwenzako.
Kama nimemwelewa vizuri ni kwamba anataka wadada wenzake,angesema ye yote,mimi ningechangamkia tenda kwa kumpeleka pale Ruaha Mbuyuni Iringa akaone kisha tuanze kazi mara moja.
 
Njoo huku Mbeya maeneo ya Igawa...tufanye business dada..Malila umepotea sana ndugu yangu upo??
 
Bi, Chausimangala, subalheri mwenzetu. Naona huyu mkuu kasupuu yuko tayari. Shida yake anahela anataka vitunguu (anasema anapenda mkweli nadhani unajua kugumdua mtu mrongo (tapeli yani) au mwenye kujifanya. Kitu kumoja katika biashara ni muhimu sana is consistancy. Sopuu ana Demand. a huge demand. Sopuu atahitaji wanawake na wanaume pamoja. in order to be competative.

Hii njia ya sudani ikifunguka itakua neema. Wakuu
 
Am a kenyan lady who would like to start importing onions from Tanzania for onward export to southern sudan. Where are they grown and how can i do a clean business without exploiting anyone? Am ready to work with a trustworthy Tanzanian woman who is conversant with the sourcing. I have discovered in this forums that Tanzanians are very keen to get value for their produce. Any idea on any other food items produced there in plenty that we can get market for in kenya or south sudan is wellcome. My email is moraph1978@gmail.com

Please view this in the spirit of east african community cooperation.

MMh! once you sold them to Sainsburys in UK would you brand them from Kenya huh!?? Good luck!
 
Naona wakenya wanachangamkia fursa za kiuchumi wakati sisi Watanzania tunazungumza politics tu!!!
 
@Malipula: Wahenga wanasema kutangulia si kufika! wanakaribishwa bila shaka,tena sana, Mali fikia, wazee wetu wanaenda mpaka ulaya kutafuna wawekezaji. nona weka sheria janja inayoziba matundu kwenye matundi mengi ya sheria. yani msumeno mkali ya kudhibiti dhulma na ufisadi ili kulinda wananchi hasa wa vijijini. Ndio kuna zaidi ya robotatu ya wananchi, na wengine baadhi yetu hajawahi kua hata na kitanda kipya au shuka mpya kwa muda mrefu kidogo.

Tusiwe na ubepari wa wenzetu walioukimbilia mwanzo. kuna makosa waliyafanya ndio maana na wao hawajanufaika na matunda ya ubepari. Huu mfumo si rahisi kuuelewa, uko tofauti kidogo katika kisaikolojia ukilinganisha na mfumo wetu wazamani. Tuwaambieni watoto ukweli ili wajue rules of the game.
 
Back
Top Bottom