How can i use my Desktop Computer as a modem?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,293
33,078
Nina internet yangu ya nyumbani ninatumie Desktop Computer ina modem ya kuweza kutumia kompyuta 4 kugawa internet kwa wakati mmoja. je ni jinsi gani ya kuweza kutumia kompyuta yangu yenye Modem ya Ethernet kwa kuunganisha na router yangu kwenye simu yangu ya mobile iwe inatumia internet ya Modem yangu ya Computer? Simu yangu ni nokia Model N9300 haina Wireless inayo Bluetooth. Ninawaombeni Msaada wenu wakuu wenzangu.
 
Mkuu hii kitu sina hakika kama inawezekana. Ingekuwa rahisi kama hiyo kumpyuta yako ingekuwa na WiFi halafu na hiyo simu ingekuwa na nayo pia hapo ingekuwa rahisi kutengeneza Wireless Connection kupitia kompyuta yako na kuigawia simu yako. Hapo ethernet cable yako na hiyo bluetooth havitakupa msaada.
 
Mkuu nyasiro Simu yangu haina Wifi inayo bluetooth na desktop yangu haina Wifi ila inayo Wifi ya USB kwa hiyo haitawezekana asanteni sana kwa kunijibu.

Duh! Kwa kweli mkuu sidhani kama hili linawezekana bila ya kuwa na WiFi.
Mkuu Meezy Asante kwa majibu yako Je Hata Kwa njia ya Ku Hack haitawezekana?
 
Last edited by a moderator:
am sorry mkuu, lakini haitawezekana hata kwa kuhack kwa kuwa WIFI inatolewa ni hardware ya network card (kwa wireless network interface card, au usb kama ya kwako vile) na simu zilivyo za ajabu huwezi ongeza hardware, yaani huwezi fanya ikatumia wireless kwa namna yeyote
 
Asante sana kwa majibu yako mkuu leh maana nimejaribu kutumia Bluetooth yangu kwenye simu ambayo haian Wifi nilikuwa nataka kuifanya Desktop yangu kuwa Modem ya kuiunganisha simu yangu iwe na internet connection imeshindikana kabisa kichwa kikawa kinaniuma kumbe inavyotakikana simu yangu iwe an wifi.Asante
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom