How can I find my way back to her tender heart?

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
1,997
Habari za asubuhi wadau? Kama kuna wanaokumbuka wiki chache zilizopita nilitoa uzi kuomba ushauri kuhusu the two women in my life. Watu walinishauri vizuri na nikaamua kufuata ushauri wa wadau kadhaa walioniambia niahirishe kumtambulisha mchumba wangu nyumbani, kisha nikapunguza mazoea na mdada rafiki yangu kama nilivyoshauriwa pia. Ila mambo yameenda tofauti na calculation zangu(as always). Wiki iliyopita niko outing na mchumba wangu nikaanza;

Pet feza: Hun, u look down today-vp kwani?
Hun: Sikiliza Pet money, Wiki iliyopita ulitakiwa unitambulishe kwa familia yako ukaniambia something came up na hatutoweza kwenda kwa sasa. Nikakubali! sasa hivi ni kama wiki imepita hukumbushii wala hujali. Sasa hvi tuko hapa kilichotushinda kwenda ni nini?
Pet feza:....
Hun: Siku hizi umezidisha communication na zawadi na hii mitoko, kisha nakuja kugundua umepunguza mawasiliano na mke mwenzangu (yule dada rafiki yangu). I am a psychologist, You are not lying to me one second! Unajua hizo ni dalili za mwanaume gani?
Pet feza: A man who cares?
Hun: A cheating fiancee!!!
Ile nasema, nini? keshaondoka siku nyingi! Hata kumfuata nikasita! Toka hapo kakata mawasiliano.

Mi nikaona hamna shida ngoja nitulie nianze sasa kuwaza nani nampenda kati ya two of them. Guys, I have come to realise kwamba ni bora nibaki kwa yuleyule mchumba wangu.
Nikamuona brother steve aliyenikataza kusitasita. Steve akaniambia, Pet shilingi mwanzoni nilikuambia, the grass always looks greener on your neighbours garden! but dd you listen?

Ikabidi nikambembeleze mchumba wangu tukutane nicome out clean. Nikamwambia everything ili aache kufikiri nilicheat.
Ha! Ndo nikaharibu zaidi! Akaja na mapozi yake ya ki'psychologist' akaniambia, Yani pet money bora ungecheat, nikajua shetani kakupitia na mambo yanaweza kwenda sawa, but you being in love with another woman? binti kalia sana!

Sasa hivi nipo nipo nimeshapiga simu mpaka mtandao utanishtaki kwa kufanya switch zao ziwe busy kiasi hicho...mama yangu hataki kuongea na mimi mpaka amuone huyu mchumba niliyemwambia naenda kumtambulisha. Kwa kweli I dont regret at all for what happened kwa sababu I've learned a lot kuhusu relationships zinavyoweza kutunzwa na zikawa sooo gud..

Please naombeni mchango wenu wa mawazo kama mlivyoniadvice hapo awali,
How can I find my way back to her tender heart?
 
Mpe time ya kutoa machungu alone and then anza kasi mpya, I amsure atakusamehe na huyo mdada mwengine muondoe kwenye list.
 
Endelea kubembeleza mwisho atakuelewa.
NB; Usibembeleze sana ukawa kama unaforce.
 
Mpe time ya kutoa machungu alone and then anza kasi mpya, I amsure atakusamehe na huyo mdada mwengine muondoe kwenye list.

Women!women! Kama ulishakaribia hatua ya kumtambulisha usiwe na wasi kama alivyosema MadameX just give her time and she'll come back to you akishapunguza hizo ghadhabu.Huyo wako tu tena usiwe na papara kabisa akiona umekaa kimya kidogo atatambua anaweza akawa anachezea Pet shillingi washroom.
But when she's back usifanye mbwembwe za kuchelewesha kumtambulisha.
Kwa jinsi ulivyoandika inaonekana uko serious kwa kiwango fulani sasa make up your mind for good sio anakuja unaanza kujiuliza maswali ya kale sijui huyu?sijui yule?
 
Give her sometime apunguze machungu kwenye moyo wake,unavozid kumsumbua unazid kumuongezea maumivu,after sometime anza kuwacliana nae as a friend soon you will win her back..
 
Give her sometime apunguze machungu kwenye moyo wake,unavozid kumsumbua unazid kumuongezea maumivu,after sometime anza kuwacliana nae as a friend soon you will win her back..

Nakubaliana nawe, ila hilo lakutowasiliana naye kabisa; mimi nashauri amtakie asubuhi njema kwa SMS everymorning na kumwish goodnite every nite as a friend bila kuexpect alot. Hata kama hajibu hizo text, mwisho wa siku dada atajirudi. On the serious note, it hurts female ego kujua mwenzi wako ana mapenzi na mtu mwingine; so coming clean on the issues invloving the heart should be pondered deeply.
 
Habari za asubuhi wadau? Kama kuna wanaokumbuka wiki chache zilizopita nilitoa uzi kuomba ushauri kuhusu the two women in my life. Watu walinishauri vizuri na nikaamua kufuata ushauri wa wadau kadhaa walioniambia niahirishe kumtambulisha mchumba wangu nyumbani, kisha nikapunguza mazoea na mdada rafiki yangu kama nilivyoshauriwa pia. Ila mambo yameenda tofauti na calculation zangu(as always). Wiki iliyopita niko outing na mchumba wangu nikaanza;

Pet feza: Hun, u look down today-vp kwani?
Hun: Sikiliza Pet money, Wiki iliyopita ulitakiwa unitambulishe kwa familia yako ukaniambia something came up na hatutoweza kwenda kwa sasa. Nikakubali! sasa hivi ni kama wiki imepita hukumbushii wala hujali. Sasa hvi tuko hapa kilichotushinda kwenda ni nini?
Pet feza:....
Hun: Siku hizi umezidisha communication na zawadi na hii mitoko, kisha nakuja kugundua umepunguza mawasiliano na mke mwenzangu (yule dada rafiki yangu). I am a psychologist, You are not lying to me one second! Unajua hizo ni dalili za mwanaume gani?
Pet feza: A man who cares?
Hun: A cheating fiancee!!!
Ile nasema, nini? keshaondoka siku nyingi! Hata kumfuata nikasita! Toka hapo kakata mawasiliano.

Mi nikaona hamna shida ngoja nitulie nianze sasa kuwaza nani nampenda kati ya two of them. Guys, I have come to realise kwamba ni bora nibaki kwa yuleyule mchumba wangu.
Nikamuona brother steve aliyenikataza kusitasita. Steve akaniambia, Pet shilingi mwanzoni nilikuambia, the grass always looks greener on your neighbours garden! but dd you listen?

Ikabidi nikambembeleze mchumba wangu tukutane nicome out clean. Nikamwambia everything ili aache kufikiri nilicheat.
Ha! Ndo nikaharibu zaidi! Akaja na mapozi yake ya ki'psychologist' akaniambia, Yani pet money bora ungecheat, nikajua shetani kakupitia na mambo yanaweza kwenda sawa, but you being in love with another woman? binti kalia sana!

Sasa hivi nipo nipo nimeshapiga simu mpaka mtandao utanishtaki kwa kufanya switch zao ziwe busy kiasi hicho...mama yangu hataki kuongea na mimi mpaka amuone huyu mchumba niliyemwambia naenda kumtambulisha. Kwa kweli I dont regret at all for what happened kwa sababu I've learned a lot kuhusu relationships zinavyoweza kutunzwa na zikawa sooo gud..

Please naombeni mchango wenu wa mawazo kama mlivyoniadvice hapo awali,
How can I find my way back to her tender heart?

Kama ushabembeleza sana,sasa hivi kaa kimya,give her time,kama kweli anakupenda atarudi tu,kwa wanawake ishu ya ndoa wanaithamini sana,labda awe mjinga,halafu na wewe jifunze kutokiri,hakuna kitu kinawaumiza wanawake kama mwanaume kusema ukweli linapokuja suala la mwanamke mwingine,anapenda kuhakikishiwa yeye yupo peke yake,hata kama si kweli.
 
petcash my kaka
mapenzi ni kamchezo kadogo sana kama utatumia akili kukacheza
kumrudisha mwanamke ambaye anakupenda ni kazi ndogo sana kama bado hajampa mtu mwingine nafasi
be a gentleman, fight for ur love

try this may be it will work
hope unajua weakness za mwenzio kwako, then if yes hapo ndo pakuanzia, kama anapenda maua we nunu mpelekee mwanzoni atatupa ila hata akitupa we peleka kila siku end of the day atajirudi mwenyewe

pili, jenga tabia ya kumtumia messages nzuri za kudhihirisha upendo wako kwake hata kama hajibu mwishoni ataanza kujibu kwa hasira halafu taratibu atakua calm

pia jaribu kuzungumza nae kupitia watu wako wa karibu ambao unajua anawaheshimu ila kwenye hili uwe makini maana watu wengine si wazuri

ikiwezekana mweleze mama yako hali halisi halafu pia unaweza kumtumia mama yako mzazi kuzungumza na huyo binti if you real love her

lastly, jaribu kumfanyia something like a suprise kwa jambo lolote hata kama atakataa lakini am sure baadae atakaa peke yake na kuanza kufikiria mara 2, just try to play with her mind she will be back soon

jishushe as much as you can
 
a woman is
like a butterfly; the more you chase it, the more it will elude you, but if you turn your attention to other things, it will come and sit softly on your shoulder...
[FONT=georgia, serif]
[/FONT]​
 
harudi huyo. You had your chance, ukachezea. Mwache aende tu sasa...
 
harudi huyo. You had your chance, ukachezea. Mwache aende tu sasa...

Hahahaha! - Mi naona nistick to the concept;'Women are like butterfly' manake inanipa hope saana. Cpigi tena simu zisizopokelewa natulia tu, one day atarudi.
 
We mwanaume wewe. . .
Kwahiyo baada ya kumwambia ulifall kwa binti mwingine ulimueleza kua sasa mapenzi yamerudi kwake?Kama umeweza kufikia hiyo hatua je umemwambia nini kinachokurudisha kwake?

Mi ningekushauri ufanye hivi. . .acha usumbufu wa simu umuandikie barua/email ambayo itamweleza ni kwanini umerudisha majeshi kwake na kwanini hauko tayari kumpoteza. Binafsi nilishagundua kwamba kama nataka kumwambia mtu kitu bila interference, bila kumboa, bila kumchosha ni kutomueleza mambo yanayokugusa sana (kuumiza/furahisha n.k) na yanayohitaji maelezo ya kina usimpe mwanya wa kukuuliza "alafu. . . ?!/Kwahiyo. . . .!?" na mambo kama hayo. Hivyo kusanya kila kitu mahali pamoja umuachie kazi ya kukusoma/sikiliza na kudigest yale anayosoma/sikia kisa usikilizie response yake.

Hiyo itampa hata fursa ya kujikumbusha maneno yako mara kwa mara mpaka pale atakapoamua kwamba ni NDIO au HAPANA.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom