How arabs turned shame into liberty

Kama kuna Mtu kapanga hii kaipanga very parfect...Moja Mbili kama ni allah anawalipizia kutokana na kifo cha yule kijana msomi kule tunisia alye jiwasha moto baada ya kukosa kazi na kufukuzwa kwenye umachinga...basi mungu wao mkuu anatimiza mahitaji ya watu wake...
 
Hao Walibya waxhenzy! Wanaigaiga tu vitu, bila kuangalia vina usadifu gani kwao.... Niko tayari tumsajili Gadaffi aongoze walau miaka minne iliyobaki ya Handsome Boy!
 
Mkuu, kwani wao (WALIBYA) ndio hawahitaji Demokrasi na kuenjoy keki ya nchi yao?
 
you can go to hell na ujinga wako. tulipokaribia uchaguzi si walikwenda kwake ili awape mkwanja wa kuibia kura zetu? ghadafi ndiye alisababisha mseveni na mugabe wanaiba kura mpaka leo, baada ya kuwaambia wasiachie madaraka kwa sababu si kura/uchaguzi ndiyo uliowaingiza madarakani. shame on you!!!
 
Jamaa anasema Libya mnayoiona sasa hivi haikuwepo kabla ya yeye...kujulikana kwa libya ni kwa ajiri yake..na yeye sio Rais ni kiongozi...yuko tayari....kuhakikisha libya inaharibika na kupote kabisa katika ramani...ha haha huyu bwana....
 
Mkuu, kwani wao (WALIBYA) ndio hawahitaji Demokrasi na kuenjoy keki ya nchi yao?

Kaka unajua jinsi keki ya Libya inavyogawanwa kwa raia? Elimu, afya, bima, umeme, makazi, vyote bure, halafu nikatonywa kuwa bei ya mafuta ni 200 ya kibongo per lita(usikimbilie kusema ni vile wanazalisha coz hata sukari miwa ni kwetu, viwanda viko kwetu lakini bei juu). Demokrasia yenye sytems ndani yake imetufaa nini miaka 50 ya uhuru kaka? Fikiria mara mbili...
 
you can go to hell na ujinga wako. tulipokaribia uchaguzi si walikwenda kwake ili awape mkwanja wa kuibia kura zetu? ghadafi ndiye alisababisha mseveni na mugabe wanaiba kura mpaka leo, baada ya kuwaambia wasiachie madaraka kwa sababu si kura/uchaguzi ndiyo uliowaingiza madarakani. shame on you!!!

Ndezi! Nazungumzia utendaji wa Gadaffi na sio ushauri wake. Kama ushauri hata JK ni mshauri mzuri tu huko nchi za watu, tena ni msuluhishi ingawa ya CHADEMA kuleta uvunjifu wa amani yanamkosesha usingizi.
 
Hao Walibya waxhenzy! Wanaigaiga tu vitu, bila kuangalia vina usadifu gani kwao.... Niko tayari tumsajili Gadaffi aongoze walau miaka minne iliyobaki ya Handsome Boy!
Nasikia ccm wamemomba wawape muongozo jinsi ya kuwakabili cdm wakianza maandamano yao, Gadafi kasema wasijali atakuja mwenyewe kuwashughulikia, kwa Wa Tanganyika dakika 5 kwisha habari wote chali barabarani.
 
huo munkari tungekua nao wabongo tungekuwa mbali sana viongoz wasingekuwa wanacheka cheka tu bila kuchukua hatua katka mambo ya mcng
 
Back
Top Bottom