Housing ya laptop

Ka2pain

Member
Apr 19, 2011
97
24
HAbari zenu wanaJF. Nina laptop yangu imeungua housing(cover) lake. napenda kuuliza kama huwa zinapatikana na kama zinapatikana ni maeneo gani? mimi nipo Dar na laptop yangu ni DEll INPIRON. Natanguliza shukrani za dhati
 
Back
Top Bottom