Housigeli’ anataka kuniharibia ndoa

Fidel...nilidhani umeachana na kila uovu!

Hehehehe nimeachana nayo sasa kama hawa wamependana si awaache tu kama vp awaachie hata nyumba yeye atafute ustaraabu mwingine atakuwa anaumiza roho hivi hivi.
 
sidhani kama ni she, maybe amecopy & paste hii habari. Kuna siku alikuja na habari ya kuonyesha kwamba yeye ni he.


afadhali umemwelekeza mpwa...kwake mwanaume aruhusiwi kuleta mada wa mwenzio loh!!!!
Naipenda jf
 
Huyu jamaa ni MAN ila inaelekea ame-paste hii bila kutujulisha ameitoa wapi. Anayeomba ushauri hapo amejitambulisha kama Mama Kelvin wa Tabata ambaye naamini sio huyo Pdidy. Chini yake kuna ushauri unatolewa ambao pia hajaeleza umetolewa na nani. Hebu ondoa huo utata kwanza Pdidy.


tatizo lao wanameza hao!!!hawajasoma habari nzima...........,wape pole!!!!
am big man expected dady twins byeeeeeeeee
 
Ahsante FL1 kwa unabii wako. Then, kama ni mambo ya kukopi na kupesti, angepaswa kutuambia hivyo mapema ili tujue tuchangieje. Otherwise yatakuwa yaleyale ya Gudboy. Watu wanatunza kumbukumbu humu jamvini wacha mchezo. Haya tuendelee na mada.

uambiwe kama nani mkuu!!!!badala ya kuchangia yalioandikwa........
 
Unatafuta ushauri kuhusu housegirl kwenye JF? Ukipata mke mwenza (nyumba ndogo) kwa mmeo utaenda wapi? Kwa baba Paroko?
 
Back
Top Bottom