Housegirl

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Katika nyumba moja, walikuwa wanakaa mtu na mkewe pamoja na mfanyakazi wa ndani wa kike. Siku moja mke akapotelewa na chupi zake 3. Akamamua kumuuliza mfanyakazi wake kama kachukua chupi zake. Mfanyakazi wa ndani akamkatalia katukaatu kuwa ameiba chupi, kesi ikafika kwa mume... Mashtaka yakawa kama ifuatavyo...

Mke: mume wangu mfanyakazi ameniibia chupi zangu...

Mume akamuita mfanyakazi na kumuuliza... " eti kweli umechukua chupi za mamako?!"

Mfanyakazi akajibu (huku akiona aibu kidogo) " Aku mie sijachukua chupi... kwani we si unajuaga mimi sivai chupi? Tena hizi chupi za nini mie...
 
Mnaambiwa kila siku .... usijaribu hawa mahousigeli; kichwani hakuna kitu... watawaumbua. Ubongo wao uko katikati ya miguu
Kali sana mzee
 
Angemjibu kwa ukali. Sheenzz na uwe una vaa nguo nzito, siyo mnavaa nguo nyepesi alafu unakuja ropoka ropoka tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom