housegirl ni Mke mwenzio!!!!!!!!

Kuwa na house girl ni fashion siku hizi unakuta familia ina watoto wa kiume na wa kike wengi tuu hawana kazi wanakaa tuu nyumbani lkn kuna house girl sasa sijui house girl wa nini? matokeo yake watoto wanaolewa na kuoa hata kupika hawajui hata kufua nguo zao hawajui.
 
What a short sighted vision to justify sleeping with house girls. Nabii Tito is so unsecure!! How could a person trust him???
 
cacico
Pole unaonekana una matatizo sana kwenye ndoa yako (kama nimekupata vyema) au kwa mzazi mwenzio.

Ongea na watu wazima, wanalijua swala lako vizuri watakisaidia!

Nanayaona maumivu, hasira na chuki kwenye post yako; believe me l understand you!

Again pole sana bidada!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom