Housegirl kanichanganya sana!

Cha kufanya ni kumuita mkeo,housegirl na mlinzi na kuwaambia ukweli wa kilichotokea kuwa wote mmechakachua mapenzi na baada ya hapo ombaneni msamaha na kuwafukuza mlinzi na house girl na muendelee na maisha yenu kama kawaida.
 
Tukutuku lakini hujatwambia kama ulitumia zana na h'gel au ilikuwa peku peku,pia muulize h.gel kama mlinzi ni mtu wa tahadhari au naye anaingia kavu kavu,maana tusiongelee fukuza fukuza bila kujua kama janga la kitaifa lishavamia mji wako au la!by the way are you ready to test?
 
Mimi nina uhusiana wa kimapenzi na housegirl wangu.Siku moja tulikuwa faragha, tukifanya mapenzi,baada ya kumaliza kufanya mapenzi nilimsifia sana na kumwambia penzi alilonipa ni tamu sana kuliko hata la mke wangu.
Baada ya kusikia hivyo alifurahi sana na kusema asante sana Baba kwa kuniambia ukweli,hii ni mara ya pili,mara ya kwanza Mlinzi aliwahi kunisifia na kuniambia penzi langu ni tamu sana kuliko la mama(Mke wangu),nilimbishia sana na kuamini alikuwa ananitania.Sasa leo nimeamini baada ya wewe pia kunisifia.
Baada ya kusikia hayo nilichanganyikiwa sana,na hasa baada ya kugundua kuwa mlinzi wangu kumbe anatembea na mke wangu wa ndoa.Baada ya kufikiri kwa kina niligundua kuwa mimi nilikuwa mkosefu sana,sistahili hata kidogo kumfukuza mke wangu,lakini ni lazima nimfukuze mlinzi ili kunusuru ndoa yangu.Kinachonitatiza ni namna ya kumfukuza huyu mlinzi wangu.Sote kama familia tunaamini ni mchapa kazi na hana mapungufu yoyote ambayo naweza kuyatumia kumfukuza kazi.Je nitumie mbinu gani ili niweze kumfukuza .
Najua nina makosa,lakini naomba wanaJF wote mnisamehe,kwa kuwa hakuna binadamu aliyekamilika,kila mtu ana mapungufu yake.Naomba ushauri wenu namna ya kumfukuza mlinzi.
Nawasilisha!!

Duuh, yaani hii ni bonge la scenario tunaloweza kulitengenezea movie.........ngoja ningaongee na script writer wangu halafu nitarudi!

Pole mkuu, mwambie tu huyo mlinzi muda wake wa kustaafu umefika hivyo anapaswa kuondoka, lakini mkuu mbona huongelei kumuondoa housegirl pia? au unataka mama akose utamu wake kutoka kwa mlinzi wewe uendelee na uroda wa housegirl?

I bet you, kama mlinzi alikuwa anajituma sawasawa kwa mkeo, atamfuata hukohuko atakakoenda, tenda bora umwache angalau mkeo awe analazwa kwenye kitanda chenu otherwise ukimfukuza mlinzi atamfuata huko na kuishia kulazwa kwenye majani au majumba mabovu.

Kwanini usiwe muwazi mkalizungumza kama familia na mwishowe wote wakafukuzwa....mkeo anapaswa kujua sababu ya kweli itakayomfukizisha kazi mlinzi!
 
Tukutuku kufukuza mlinzi inaweza pia isiwe dawa kama vile kufukuza house girl inaweza pia isiwe dawa.Mimi kuna couple naijua yalitokea kama haya haya baba alimfumania mama na family driver,akamtimua only mama kumnunulia dereva shamba maeneo ya Chanika,akamjengea na two bedroom house na akamfungulia na frem ya biashara,yote bila mzee kujua,leo hii kila weekend mama anaaga anakwenda shamba sehemu inaitwa Mvuti kumbe anakwenda kujivinjari na dogo,mambo magumu sana haya kama zilivyo ngumu ndoa zenyewe.
 
Ushakiri ni mchapa kzi mzuri kwann unataka kumtimua?
Mwache achape kazi yake vizuri hadi kwa MKEO coz umezoea vi House Gal ndo size yako!!!
 
mh sasa mnaoa au kuolewa ili iweje hahahahaha heri yetu masingo tunakula kitu roho inapenda,mnakaba mpaa beki tatu kweli wamero:hand:
 
Mimi nina uhusiana wa kimapenzi na housegirl wangu.Siku moja tulikuwa faragha, tukifanya mapenzi,baada ya kumaliza kufanya mapenzi nilimsifia sana na kumwambia penzi alilonipa ni tamu sana kuliko hata la mke wangu.
Baada ya kusikia hivyo alifurahi sana na kusema asante sana Baba kwa kuniambia ukweli,hii ni mara ya pili,mara ya kwanza Mlinzi aliwahi kunisifia na kuniambia penzi langu ni tamu sana kuliko la mama(Mke wangu),nilimbishia sana na kuamini alikuwa ananitania.Sasa leo nimeamini baada ya wewe pia kunisifia.
Baada ya kusikia hayo nilichanganyikiwa sana,na hasa baada ya kugundua kuwa mlinzi wangu kumbe anatembea na mke wangu wa ndoa.Baada ya kufikiri kwa kina niligundua kuwa mimi nilikuwa mkosefu sana,sistahili hata kidogo kumfukuza mke wangu,lakini ni lazima nimfukuze mlinzi ili kunusuru ndoa yangu.Kinachonitatiza ni namna ya kumfukuza huyu mlinzi wangu.Sote kama familia tunaamini ni mchapa kazi na hana mapungufu yoyote ambayo naweza kuyatumia kumfukuza kazi.Je nitumie mbinu gani ili niweze kumfukuza .
Najua nina makosa,lakini naomba wanaJF wote mnisamehe,kwa kuwa hakuna binadamu aliyekamilika,kila mtu ana mapungufu yake.Naomba ushauri wenu namna ya kumfukuza mlinzi.
Nawasilisha!!

red ya kwanz: kaka mla huliwa.
red ya pili: klwa kweli mlinzi ni mchapa kazi.
 
hii ni kweli au ni sinema ya katuni? acha kuchezea akili za watu bwana.housegirl gani asiye na akili anaweza kuropoka kiasi icho
 
Sawa mkuu nimeshakiri kuwa nini makosa na nikaomba mnisamee!naomba ushauri wako namna ya kumfukuza mlizi!!

Fukuza na house girl maana ukimfukuza mlizi peke yake huenda ukaendelea na hiyo tabia.
Kitendo cha kutembea na wafanyakazi wenu ni aibu kubwa....
Yafaa mkiri makasa yenu na muaze upya maisha maana hayo ya sasa ni hatari tupu, mwaweza kujikuta mnateketea kwa magonjwa hatari wakati wowote.

Acheni kujitegemeza wenyewe...Mrudueni muumba
 
Masanilo anaweza kutatua hili...wote mnastahili kutubishwa kisha km huyo mlinzi hana mke aoe huyo HG maisha yaendelee
 
Tukutuku lakini hujatwambia kama ulitumia zana na h'gel au ilikuwa peku peku,pia muulize h.gel kama mlinzi ni mtu wa tahadhari au naye anaingia kavu kavu,maana tusiongelee fukuza fukuza bila kujua kama janga la kitaifa lishavamia mji wako au la!by the way are you ready to test?

Nilitumia kinga mkuu,usiwe na wasiwasi na hilo mkuu!!
 
Cha kufanya ni kumuita mkeo,housegirl na mlinzi na kuwaambia ukweli wa kilichotokea kuwa wote mmechakachua mapenzi na baada ya hapo ombaneni msamaha na kuwafukuza mlinzi na house girl na muendelee na maisha yenu kama kawaida.
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu!!
 
Duuh, yaani hii ni bonge la scenario tunaloweza kulitengenezea movie.........ngoja ningaongee na script writer wangu halafu nitarudi!

Pole mkuu, mwambie tu huyo mlinzi muda wake wa kustaafu umefika hivyo anapaswa kuondoka, lakini mkuu mbona huongelei kumuondoa housegirl pia? au unataka mama akose utamu wake kutoka kwa mlinzi wewe uendelee na uroda wa housegirl?

I bet you, kama mlinzi alikuwa anajituma sawasawa kwa mkeo, atamfuata hukohuko atakakoenda, tenda bora umwache angalau mkeo awe analazwa kwenye kitanda chenu otherwise ukimfukuza mlinzi atamfuata huko na kuishia kulazwa kwenye majani au majumba mabovu.

Kwanini usiwe muwazi mkalizungumza kama familia na mwishowe wote wakafukuzwa....mkeo anapaswa kujua sababu ya kweli itakayomfukizisha kazi mlinzi!
Kama nilivyosema awali ni kwamba kumfukuza housegirl ni raisi sana kwa kuwa sitopata upinza kutoka kwa mke wangu!lakini mlinzi nahisi nitapata upinzani kutoka kwa mke wangu!nashukuru kwa ushauri wako mkuu!!
 
Tukutuku kufukuza mlinzi inaweza pia isiwe dawa kama vile kufukuza house girl inaweza pia isiwe dawa.Mimi kuna couple naijua yalitokea kama haya haya baba alimfumania mama na family driver,akamtimua only mama kumnunulia dereva shamba maeneo ya Chanika,akamjengea na two bedroom house na akamfungulia na frem ya biashara,yote bila mzee kujua,leo hii kila weekend mama anaaga anakwenda shamba sehemu inaitwa Mvuti kumbe anakwenda kujivinjari na dogo,mambo magumu sana haya kama zilivyo ngumu ndoa zenyewe.
Duh!inatisha,labda na mimi nitaelekea huko,kwa sabababu mke wangu ana fedha na kufanya hayo!!
 
Back
Top Bottom