Housegirl akizoea kumpikia mumeo akiomba apikwe utakasirika??

halafu mwenyewe si anawajua!! Niliwaona kule kwenye ile thread ya ilikuwaje siku ya kwanza kum-cheat mpenzio walivyokuja juu. Unajua wakati mwingine wanaume wanaonekana wakorofi kumbe sisi wawazi.

Tuna cheat lakini na wake za watu, lakini wenyewe wakija humu ugomvi wake balaa. Sasa hili la house galz mimi nina ushahidi nalo kwa familia moja kufa kwa ukimwi kwa sababu wote kuanzia baba hadi watoto wake watatu walikuwa wanagonga house gal kama hawana akili nzuri kwa siri kila mtu kwa wakati wake.mama mwenye nyumba anaishi songea baba yuko mbinga na watoto wake.

Wanaume wengi sana wanalamba hawa ma- huose gal isipokuwa wanajikausha, na kisa hasa kinakuwa hawa wasichana kwa kweli huwa wanaonyesha utu sana kuliko wake wenyewe wenye nyumba. Akitumwa anakwenda bila kinyongo, mzee akiumwa anaonyesha huruma ya kweli wakati huo mama yuko bize kupaka rangi kucha!!

mkuu hao wamekufa kishujaa ningejua makaburi yao kwenye majina ya msalaba ningeandika king na kwa wanawake queen
 
kwangu hagusi kitu yoyote ya mume wangu kila kitu nitafanya mm yy atafanya vingine vyote akipenda ila sio kugusa chochote kinakomhusu mume wangu..............mana nitaua yani nitauaaaaaaa kabisaaaaaaaaaa bila hesitation yoyote ile

mwaya hongera wachache kama wewe mi nimeona live ndio maana nikalileta hili..nimetoka tanga kwa ndugu yangu mmoja nikiwa usiku nafanya kazi zangu housegirl aanafua anapika cha mwanaume anampasia nikaomba mungu asije kuwa anapasi na chupi zake za ndani.cha kushangaza mume anakuwa na mimi alafu mama anaenda kulala usiku kabisa anamka kaama ananyata alafu anafungua chumab cha housgirl kwa k unyata asipomwona anakuja pole pole unashtukia huuyu hapa..aisee nimekaa siku taano nkahisi mwezi wanavyoishi...niliumia sana sana nikamweleza ukweli kama amuaminiani si urudi ntykali mkifika mnapeana mgongo wa four asbh hiyo soon mnazoea...moja ambalo nimehisi jamaa yawezekan a kapewa ratiba ya kupewa unyumba...muwe makini jamani
 
umeona eeh.........house girl ni wawatoto na kusaidia usafi ndani na nje ya nyumba may be kama mnayo kubwa ila sio kwa ajili ya baba
 
Back
Top Bottom