Housegilr na toothpick

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Kuna bwana mmoja alikuwa ameajiri msichana wa kazi kutoka kijijini, sasa kuna siku moja baada ya kupata msosi akaomba toothpick. mazungumzo yalikuwa hivi:-

Baba: Dada naomba toothpick (stick).
Msichana: Zimeisha baba.
Baba: Hivi mnazitumiaje, si juzi tu nimeleta kikopo kizima hapa jamani?
Msichana: Baba, labda uwaulize hao hao wanao mimi nikisha tumia huwa narudisha humohumo.
 
Mkuu hii niliipost mimi mwezi uliopita.Hata hivyo inaonekana kupendwa.Poa.
 
Duh! Imekula kwangu, anyways it's a coincidence, thanks guys
 
i like it. Thanx.

Kweli Husninyo, vichekesho ni timeless, mwandishi mmoja wa kitabu cha the art of public speaking (sikumbuki jina lake) alisema "if a joke is fine and clean enough to be told to the public, the chances are it must've been heard"
Asante kwa kuni-protect mpendwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom