Housed Maid Escape Atempt (Waarabu wanavyotesa Ndugu zetu huko uarabuni Ona hiyo)

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
Housemaid tried to escape in Bahrain but could not do it & stcuk on AC of the building then she was rescued by the civil defence see the pics.

 

Attachments

  • image001.jpg
    image001.jpg
    19.1 KB · Views: 307
  • image002.jpg
    image002.jpg
    19.2 KB · Views: 367
  • image004.jpg
    image004.jpg
    19.1 KB · Views: 301
  • image005.jpg
    image005.jpg
    14.6 KB · Views: 260
  • image006.jpg
    image006.jpg
    35 KB · Views: 248
  • image007.jpg
    image007.jpg
    32.2 KB · Views: 246
  • image008.jpg
    image008.jpg
    39.3 KB · Views: 221
  • image011.jpg
    image011.jpg
    26.3 KB · Views: 225
  • image012.jpg
    image012.jpg
    18.9 KB · Views: 245
  • image013.jpg
    image013.jpg
    27.9 KB · Views: 272
Maid 'drank acid to escape life as wealthy couple's slave'


<script src="http://scripts.dailymail.co.uk/js/diggthis.js" type="text/javascript"></script>


article-1267668-09375AA0000005DC-151_233x423.jpg
Yoyoh Binti Salim Udin, left, claims she was forced to work more than 16 hours a day by Firas Pasha​

A maid 'treated like a beggar' and forced to work 16-hour days tried to kill herself by drinking acid, a tribunal heard yesterday.
Indonesian Yoyoh Binti Salim Udin was brought to Britain by wealthy businessman Firas Chamsi-Pasha and his wife Lina to cook and clean for them and be nanny to their two young sons.
But the 39-year-old was paid less than £10 a day and says she was slapped, strip-searched and locked up by the couple.
She claims she attempted suicide as she 'felt there was no way out'.
Her employers, both Syrians, owned a £ 4million flat in Central London as well as a large home in Huddersfield - near 52-year-old Mr Chamsi-Pasha's textile business.
Mother-of-two Miss Udin said she felt like a 'beggar' as she was forced to sleep on the floor and was a slave to the couple, who would not let her out alone and kept her passport to prevent her leaving the country.

Once, when making spring rolls, Miss Udin claims she was slapped by Mrs Chamsi-Pasha, 42, because 'she wanted triangular ones, whereas I had made rectangular ones'.

The maid said the final straw came when Mrs Chamsi-Pasha accused her of stealing a pair of earrings and strip-searched her before locking her in the flat.
After the incident the maid tried to kill herself by drinking acid meant for unblocking drains. She now cannot swallow anything, including her own saliva.
Giving evidence to the employment tribunal in London yesterday, Miss Udin described how she felt like a prisoner working for the wealthy couple.

article-1267668-093B7303000005DC-675_468x562.jpg
Denial: Mr Chamsi-Pasha with daughter Yasmine yesterda, who Ms Udin says slapped and strip-searched her​

She is suing them for race discrimination, constructive dismissal, unpaid wages and compensation for a breach of employment rights including rights in relation to working time.

article-1267668-093C91DB000005DC-277_233x342.jpg

In a statement to the hearing, she said: 'I bring my claim because of my working conditions and pay and because, in what became the last days of my employment, I was wrongly accused of theft, locked into their house and strip-searched.
'Because I felt wrongly accused, unable to demonstrate my innocence and trapped, I swallowed some caustic acid.'
Born in West Java, Miss Udin came to London to work in the family's five-bedroom flat in Portland Place in 2004 to look after sons Faysal, now ten, and seven-year-old Zeyd.
She also acted as a maid for the couple and their three other children, Khaled, 22, Walid, 20 and Yasmine, 18.
The maid said she called Mrs Chamsi-Pasha 'Madam' and her husband 'Mister'.

She regularly worked from 6.30am to 11pm, but sometimes 2am if there were guests.
She was given her own cup and a plastic bowl in which to wash her clothes so she wouldn't 'share the family's items'.
Although at first she had her own room, after the family moved to nearby Hallam Street, she slept on a foam mattress on the floor of the children's room. When they moved again, to South Kensington in 2008, she had to sleep in the dining room.
article-1267668-093C11E2000005DC-419_235x280.jpg
Employer: Lina Camsi Pasha, who is accused of slapping the maid

'At first I was not even given a mattress, only a thick blanket,' said Miss Udin.

'I had very little rest during my day. Madam would often spend much of the day at home, resting, reading or watching television.
'She would shout for me to bring her something from upstairs or from another part of the flat.'
Among Mrs Chamsi-Pasha's demands were washing instructions. 'Madam required that I wash everyone's underpants and socks by hand before they were washed in the machine,' Miss Udin said.
The Chamsi-Pashas deny all the claims. Yesterday under crossexamination, Jonathan Goldberg QC, for the couple, accused Miss Udin of 'often lying'.
She also admitted to having a sixweek holiday in Indonesia in 2007.
Mr Goldberg also claimed the maid swallowed a minimal amount of acid in an attempt to remain in Britain after it was discovered she had stolen from the couple.
The hearing continues.

article-1267668-093BCEB5000005DC-380_468x286.jpg
Portland Place, where Lina Chamsi Pasha and her husband Firas owned a flat​


<!-- google_ad_section_end(name=s2) -->
 
Na akisharuka hapo anakwenda wapi hana hata viatu miguuni na joto lote hilo tunalosikia?

Na cha muhimu zaidi paspoti yake atakuwa nayo Bosi wake.
 
House maids wengi wanatendewa vibaya na matajiri wao hata Bongo yanafanyika. Tatizo ni kwamba bado suala la haki za binadamu na kazi hawa Maids hawazifahamu. Acheni kuwatesa watoto wa wenzenu, hawakupenda kuwa low class/status!! Imagine it was your daughter or son is mistreated in any how!!! Wear those shoes!
 
Mwarabu hapa bongo atkuheshimu kwa vile si nnchini kwake ngoja uende kwao utaona kisa cha kanga kushyolewa shingo. Waarabu kwa asili ni makatili, kumbuka biashara ya utumwa waliendesha wao,angalia kinacho fanyika Suadani , Libya na Yemeni . Mtu mwingineo kwao ni mavi,( Cha mtu mavi). Waarabu kwa aasili hawawapendi watu weusi,katika jambo lolote, uhasidi wao hujionyesha waziwazi katika matendo yao. kwa vile leo miak hii waarabu wanamafuta , subiri kipindi kifike mafuta yaishe hapo ndipo utaona hali halisi ya unyama wao ulivyo. wanweza kufanya lolote popote bila kujali wengine. ndivyo walivyo. Kumbuka walivyo watesa watumwa enzi za utumwa. WSHNZ hw..........
 
Na hawa ma house girl ( Yaya ) wanaoajiriwa hapa na wabongo wanaishi kwenye anasa zipi ?

1. Analazwa jikoni chini
2. Anakula makombo au kiporo
3. Yuko kazini masaa 24

Kama hukusoma - hayo ndio maisha.
 
Samahanini wakuu. Mwanamke anaponyanyaswa na mume utasikia kelele nyingi sana za unyanyasaji kijinsia. Lakini wanawake hawa wako kimya kabisa mwanamke anapomnyanyasa mwanamke mwenzake. Majumbani huko mahausigeli wanapata shida kwakweli. Sisemi wanaume hawawanyanyasi mahausigeli(ubakaji). Lakini kwa ni nini wanawake hawana huruma na mahausigeli wao?
 
Mbona hata hapa nyumbani dada zetu wakutoka mikoa ya kaskazini (Singida, Arusha, na Moshi) wanafanyiwa haya mambo na mabosi wao? Kwanza tuanze hii vita hapahapa nymbani kabla ya kwenda nje.

Hata mimi nashangaa au ndo ule usemi wa kunya anye kuku akinya bata kahara.

Halafu hao waarabu pia ni binadamu kama wengine tuu...wapo waungwana na mafedhuli kama waafrika tulivyo.

Kwani mara ngapi tunasikia magazetini ukatili unavyotendeka?

Mifano:
1*Huyu binti aliyetandikwa mimba na bosi wake ambaye alikuwa kibosile wa polisi halafu akamtelekeza na mtoto wake (JE HUO SI UNYAMA?) House girl sues Tanzania ex-police chief for impregnating her

2*Mwingine alibakwa na baba yake wa kambo kwa miezi minne mfululizo (JE HUO SI UNYAMA?) KULIKONI UGHAIBUNI-14 ~ Kulikoni Ughaibuni

3*Mara ngapi tunasikia kwenye vyombo vya habari maalbino wanauawa (JE HUO SI UNYAMA?) Albino auawa kikatili

4*Mara ngapi tunasikia kwenye vyombo vya habari watu wanachunwa ngozi (JE HUO SI UNYAMA?) Akatwa shingo, achunwa ngozi ya kichwa

5*Watanzania wangapi wanauawa huko India kikatili, mojawapo huyu TANDEN

Ondoa dhana kwamba waarabu tu ndo wakoseaji hata hapa kwetu mafedhuli wengi sana (Kwa ujumla binaadamu wote hawako sawa wako kila aina/tabia).
 
Mbona hata hapa nyumbani dada zetu wakutoka mikoa ya kaskazini (Singida, Arusha, na Moshi) wanafanyiwa haya mambo na mabosi wao? Kwanza tuanze hii vita hapahapa nymbani kabla ya kwenda nje.
Kwenye hii comment yako ungeondoa Moshi na Arusha ukareplace na Iringa na Dodoma ingekaa vizuri zaidi.....................ila kwa hapo kama uko chaka hv
 
Wewe Capitani unaonyesha dhahiri jinsi ulivyo na chuki na waarabu mpaka ubongo wako umegubikwa na utando. Utumwa umefanywa na wote pamoja na waafrika wenyewe. Nakwambia tena soma trans-atlantic slave trade uone nani alihusika katika biashara hii. Na hata hivi sasa bado yanafanyika ulaya hebu angalia link ifuatayo:

BBC News - Nine 'slaves' refuse to help police inquiry.
 
Mwarabu hapa bongo atkuheshimu kwa vile si nnchini kwake ngoja uende kwao utaona kisa cha kanga kushyolewa shingo. Waarabu kwa asili ni makatili, kumbuka biashara ya utumwa waliendesha wao,angalia kinacho fanyika Suadani , Libya na Yemeni . Mtu mwingineo kwao ni mavi,( Cha mtu mavi). Waarabu kwa aasili hawawapendi watu weusi,katika jambo lolote, uhasidi wao hujionyesha waziwazi katika matendo yao. kwa vile leo miak hii waarabu wanamafuta , subiri kipindi kifike mafuta yaishe hapo ndipo utaona hali halisi ya unyama wao ulivyo. wanweza kufanya lolote popote bila kujali wengine. ndivyo walivyo. Kumbuka walivyo watesa watumwa enzi za utumwa. WSHNZ hw..........

Mheshimiwa Capitani ID yako inafanana sana na ya kwangu na nilitegemea tunafanana pia na pengine unanijua. Lakini umenishangaza sana na mtazamo wako juu ya hili. Na kilichonishangaza zaidi ni hivi kweli hapa duniani bado kuna watu wenye chuki kama kiasi hicho dhidi ya race fulani bila sababu yeyote ya maana? Kama biashara ya utumwa kweli walikuja kununua watu Afrika kupitia machifu wetu ambao ndio waliokuwa wanatuuza kwa waarabu kama leo hii Magamba wanavyotuuza kwa mwavuli wa uwekezaji (mikataba ya akina chief Mangungo na ya Richmond yote sawa). Hata hivyo sii waarabu pekee walifanya biashara hiyo, au unafikiri akina Martin Lurther King na akina Tyson walikwenda Amerika kama watalii? Tena mababu za hawakununuliwa Afrika bali waliwindwa kwa bunduki kama digidigi.
Kuhusu ukatili kwa hawa mabeki tatu, hapa bongo ndio zaidi kuliko huko ulaya na arabuni. Nasema haya kwa kuyashuhudia kwa macho na kusoma habari mbalimbali. Lakini kwa chuki unayoonesha ndugu yangu, kuna kila dalili ya kuwa wewe unaweza kuwa katili kuliko hao waarabu na wazungu wanaoendekeza biashara ya utumwa hadi leo. Ukatili unaanza na chuki kama hiyo yako, bado kidogo tu utakuwa zaidi yao.
 
Back
Top Bottom