House hunter international: Tanzanian episode

Jamaa wanalalamika rent 5500.00 USD per month, na inabidi ulipe kodi ya mwaka mzima ??!!!
Only in Tanzania.
 
Umeona eeeh?

Yaani mimi hiyo ya lazima kulipa kodi ya pango kwa mwaka mzima kwa mkupuo haiingii akilini kabisa.

Wewe ni broke azz ndiyo maana kodi ya mwaka imekushtua. Ni mambo ya kawaida sana tuu hayo na watu waliokaa vizuri hawalalamiki. Nyie ni wabeba maboksi mnaosubiri cheki ili mpange bajeti na haya mambo hamyawezi. Wanaopanga nyumba hizi ni watu ambao wana housing allowance, wana hela zao benki za kulipa renti ya mwaka mzima. Nyie watumwa wa wazungu nyumba kama hizi mtazisikia hewani tuu. Kalagha bao.
 
Hewala dada. Mimi ni broke azz.
 
Back
Top Bottom