House Girls?!

Sasa hapo nazi ikimuangukia huyo malaika wa mungu kutakuwa na uhai hapo tena........!
 
yaani siku nikimkuta house girl wangu amemfanyia mwanangu hivi nitamtandika viboko sita hadi nane vya nguvu.
 
Wakai tunaendelea na hoja zetu, hebu angalia jinsi 'dada' alichofanya kwa mtoto wako! Jaman, msishtuke..ni vyema kama mtawapa upendo na kuwapunguzia kazi....

alikuwa anakula uroda na muuza genge wa jirani yenu..
 
Nikimkamata naua... Hata hivo mi sidhani kama kwei tunahitaji house girls...
 
Wakai tunaendelea na hoja zetu, hebu angalia jinsi 'dada' alichofanya kwa mtoto wako! Jaman, msishtuke..ni vyema kama mtawapa upendo na kuwapunguzia kazi....

Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Nimehisi tumbo kuuma ghafla! Nikimkuta mtu kamfunga mtoto hivyo awe mtoto wangu au hata wa mtu nisiyemfahamu haki ya nani nitahakikisha analala mahabusu siku hiyo hiyo!
 
Jaman, mpunguze kutuma na kuwapa kaz nying...et kisa HG ndo shuka mlizopigia 'show' lazma zfuliwe kila siku?! Msiogope, kuhusu nazi, MUNGU yupo, atamnusuru...
 
Huyu alie fanya kitendo hiki Hana utu kabisa

Hapo mtoto anaumia, huo mnazi ni tofauti na mgongo
 
Wakai tunaendelea na hoja zetu, hebu angalia jinsi 'dada' alichofanya kwa mtoto wako! Jaman, msishtuke..ni vyema kama mtawapa upendo na kuwapunguzia kazi....

Alafu ogo katulia kama yuko kwenye boing 00023 anaelekea mbinguni
 
Mie ndo maana nikimuajiri HG lazima nile kisolokupwinyo chake kwanza maana nae ni binadamu ili atulie nyumbani asiwashwe! Sasa mtu akae kwako miaka yote bila kupata ile kitu si anachanganyikiwa hata ufanisi wa kazi unakuwa mdogo! Nampa haki yake at least once per week anatulia ndani mama anafurahia mwenyewe kumbe nawanusuru watoto wetu!
 
attachment.php

Nimecheka saana. Dogo anaonekana hana shida na pozi, ila huyo house girl anastahili kupandishwa TGS kawa mbunifu mnoo.
 
Wakai tunaendelea na hoja zetu, hebu angalia jinsi 'dada' alichofanya kwa mtoto wako! Jaman, msishtuke..ni vyema kama mtawapa upendo na kuwapunguzia kazi....

Mhhhh!...inasikitisha kusema kweli. Huyo aliyemfunga huyo mtoto hapo kwenye mnazi yeye hawezi kukubali kufungwa namna hiyo na labda kuachwa hapo kwa muda mrefu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom