House girl wangu ananitega

Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?
......

Wengine bahati kama hizi hatuzionagi.............
 
Mpe dose yake halafu umfukuze kazi, akirudi madam mwambie umeachisha kazi kwasababu ya tabia mbaya ya wanaume hapo mtaani pia alikutia majaribuni!
Hivi, kwa mfano huyo hausi geli mwenyewe ndo wewe... ungetoa ushauri huu..??
 
......

Wengine bahati kama hizi hatuzionagi.............

Absolutely true kwenye miti hakuna wajenzi mimi niko mbali na my waifu wangu kipupwe hiki my House girl ananiogopa kama mie simba vile full kujifungia room kwake na akitoka kavaa full ngwamba teh tehee heheeeee!
 
Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?

Rijali huwa haulizi...Kwangu dushe ndiye msemaji wa mwisho.!
 
Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?

acha ubazazi kijana yaan kabisa una mke wa ndoa unafahamu kabisa ni haramu kumtumia maid wako then unakuja kuomba ushauri nimtumie...? si bora kama unania ungefanya kimyakimya...!!
 
Hata reli ina kona. Hizo ni challenge toka kwa Mungu aliyekupa mke'o. Ni juu yako kuzi-overcome otherwise uamuzi wako hasi utakupa matokeo hasi pia. Kumtimua ni kumtakia maisha ya tabu ukisahau hiyo change anayopokea kwako ndo maisha yake.
Hadly had I known comes after.
 
Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?
mwambie arud kwao arudi yf akiruudi
 
Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?

kama una malengo na ndoa yako mpotezee huyo n shetan je mfano akipata ujauzito c ndio mwanzo migogoro kwenye ndoa achana na tamaa za ajabu ikwezekana mtimue then mwambie wife ukweli
 
Back
Top Bottom