House girl wangu ananitega

Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?

Angalia hapo kwenye Red colour........ wewe una lako mbona ushamtamani muda mrefu sana?
 
Whaat?? Yaani unadiriki kufikisha hapa??? Wewe unamtaka, achan kabisa mzaha, utaharibu ndoa, wajua watu hatujui umuhimu wa ndoa mpaka ikiharibika ndo utajua, acha izo kabisaaaa!
 
Kama kuna kitu utakachokuja kujutia ni uamue kummega huyo binti. Kama hujui ni kwa nini watoto wanawekwa kwenye friji au oven basi jaribu kula hicho kiumbe. Acha kabisa usidhubutu asilan! Kama akiendelea hivyo mwite na umkanye. Kuna kipindi hufika hata mabinti zetu huvaa kihasarahasara! Je nao tuwamege? Bintiyo wa kumzaa naamini utamkanya basi na huyu mkanye na mwelekeze njia sahihi ya kuvaa na anatakiwa avae nini na kwa wakati gani. Tatizo la wazazi wengi wa kikwetu huwa hatuwezi kukaa na mabinti zetu na kuwaambia abcd za maisha. Poteleambali mi namwambia hapo sio hapa sawa! Mwambie aache mitego yake maramoja.
 
Akikuvalia kanga moja we shika tak0 akichekelea muulize kama anataka akikubali mvute kisha mwambie kwamba unataka tigo akigoma timua mwambie kama ni huko wife anatosha. akikupa kula vitu tofauti.

Tumbaku hizi ...,mh ....,ni balaaa.
 
Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?

...unajitega tu mwenyewe, acha kumchungulia mtoto wa watu akienda kukoga.
Hayo mengine ya kukuchangamkia na kukuuliza unachopenda kula ni katika
kutimiza majukumu yake.

Duh, bro huna jema wewe au?
 
ukimtimua mkeo atajua umeshamega,na ukimega atamdharau mkeo akirudi lazima mkeo atajua, hakuna kula panya hapo ndugu bora ule mail za mali na sio home utajishusha heshima.
 
Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?

Maelezo yako yaonyesha huhitaji jibu tayari ushapenda kwa kifupi mnategana.hivyo..,
 
House girl ni sumu heshima itashuka ndani ya nyumba atamdharau mkeo coz kila anachokifaidi mkeo nae anafaidi kifuatacho subiri kipigo kwa wanao na akiulizwa subiri nyodo zake
 
Anayekutega sio house girl bali mkeo, si amekuachia kimwana na njaa? kazi kwako! ukinasa umekwisha...
 
akikuvalia kanga moja we shika tak0 akichekelea muulize kama anataka akikubali mvute kisha mwambie kwamba unataka tigo akigoma timua mwambie kama ni huko wife anatosha. Akikupa kula vitu tofauti.

kweli tuna kazi na hawa wanaume wetu. Comments zenu zooote zmeniumiza sana moyo wangu.
 
Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?

Nimeoa na ninaishi na mfanyakazi nyumbani.
Mke wangu kaenda kijijini kwao kumuuguza dada yake hivyo basi nyumbani nimebaki mimi tu na msichana wetu wa kazi.
Ijumaa usiku, nlirudi mapema sana nyumbani, binti akawa haishi kukatiza mbele yangu na kanga moja tu aliyojifunga kifuani, yaani kanga ilikuwa inaangaza sana hadi nikawa naioana chupi yake ya pikini pila hata kutumia nguvu.
Jumamosi alivaa kasketi kafupi sana, na kali kabisa ni ya jana usiku.
Alikuja kunigongea mida ya saa tano usiku, akisema chumbani kwake anasikia sauti za watu wanaongea dirishani.
Nikaenda kusikiliza hizo sauti, kukawa kimya kwa zaidi ya dk 15.
nikarudi chumbani kwangu kulala.
Saa saba akaja na kuniambia hawezi kulala kwa sababu ya woga hivyo anaomba nikalale naye.
Duhhhh, ikabidi nimwambie kuwa mi mwenyewe naogopa hizo sauti kwa hiyo akalale sebuleni.
Akaenda huko na hajanisumbua tena.
Kichwani nimebaki na maswali huyu binti ananiteha au mimi ndio nawaza vibaya?

Jamani leo uzalendo umenishinda.
Nimemmega hausi gel wangu , usiku mzima ulikuwa wa huba zito.
Nimejilaumu sana na niapa kuwa kamwe sitarudia kumega ma hausi gel.
Nimeshaongea na bi mkubwa kuwa aje na hausi gel mwingine huyu simtaki tena



Na wewe usije kutuambia tayari umesha mega kama ndugu yako Sumbalawinyo
 
Back
Top Bottom