house girl wangu anakunywa viroba

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
wana jf natuma wote wazima na house girl wangu anafanya kazi vizuri lakini Tatizo lake anakunywa viroba jee nimrudishe kwao au niendele kuishi nae ?
 
Akinywa viroba we inakukera nini kwani mpaka umfukuze especially kama anafanya kazi vizuri?
 
Hayo ndo madhara ya kuchukua ma house girl wa manzese wengi wameanzia u bar made.Kuna mikoa ina product nzuri ya watu aina hiyo kazi ni kwako ngoja amvalie bikin mmeo aseme viroba vilimzingua so kama una mtoto huyo sio mlez mzuri.
 
Akinywa viroba we inakukera nini kwani mpaka umfukuze especially kama anafanya kazi vizuri?
Wewe nae unanikera, wamjibu kimaukweli hivyo wakati mwenzio anatania, hana cha house girl wala nini huyu, au umemsahau na post zake!
 
Anakula ugali wa shkamoo afu anadhani ku-maintai house staff ni mchezo eeh?

Jane zero-zero-zero, mshauri mumeo anywe castle lite ili hgeli asidoee. Afu umnunulie zile pakti za power zinazimisha haraka.
Wewe nae unanikera, wamjibu kimaukweli hivyo wakati mwenzio anatania, hana cha house girl wala nini huyu, au umemsahau na post zake!
 
ukweli ni huu kila m2 lazma awe na mda wa kufurah,sasa kama m2 anamfuku house girl wake kisa viroba bila shaka anataka mfanyakaz wake asiwe na starehe.kama chake cha halal muache aki2mie ilimrad hakeri m2 anapopata mambo yake
 
Wengi wanywao vikabali (viroba) huchangiwa sana na uhaba wa kipato .
Kwani unamlipa sh ngp per monthly ?
Kama unamlipa below laki 1 kwa mwezi ni haki yake anywe pombe hiyo.
Mi wa kwngu namlipa laki mbili per moon , so anakula Maji ya Tanzania Brewries na juzijuzi kaniomba loan anataka anunue Ka'Bajaji kake.
Nafikiria kumsaidia , nawe jitahidi kum'boreshea uone kama atakunywa za kwenye mifuko.
 
hivi huyu jane ndo ww eeh??
kwenye mada...ukweli umekiri kua kazi anapiga hata kama amekata vifuko vyake...
kitu pekee cha kumrudisha mfanyakazi kwao ni endapo ana mambo ambayo yanaondoa ufanisi wa kile kilichomleta.....
pia iyo nyumba inaelekea wote ni walevi aise!
 
Wengi wanywao vikabali (viroba) huchangiwa sana na uhaba wa kipato .
Kwani unamlipa sh ngp per monthly ?
Kama unamlipa below laki 1 kwa mwezi ni haki yake anywe pombe hiyo.
Mi wa kwngu namlipa laki mbili per moon , so anakula Maji ya Tanzania Brewries na juzijuzi kaniomba loan anataka anunue Ka'Bajaji kake.
Nafikiria kumsaidia , nawe jitahidi kum'boreshea uone kama atakunywa za kwenye mifuko.

wapi wewe unajipaishia bure unaweza kuta unampa chini 30,000. Tunaolipa hizo hela hatuongeagi.
 
Kama unaona viroba ni bei ghali, we fanya mpango umletee dumu la 'ze gongo'. Watu HG anameza chupa ya John Walker Green label na hawalalamiki, kama kazi anapiga shida nini!
 
wapi wewe unajipaishia bure unaweza kuta unampa chini 30,000. Tunaolipa hizo hela hatuongeagi.

Mh. Hivi unajua create 1 ya Bia sasa hivi inauzwa abt Tsh 30,000 so far unamaanisha mshahara wa msaidizi wa nyumba ufanane na create 1 ya bia? Hembu mtake razi beki wangu
 
Back
Top Bottom