HOUSE GIRL to HOUSE BOY!!!

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,488
908
Mwanamke mmoja aliwanunulia cm wasaidizi wa makazi yake (house boy&huse girl) ili kurahisisha mawasiiano nao awapo mbali na hom na cm zenyewe ni hizi za promo zinazofanana. kwenye cm zote akarekodi jina lake kama 'MAMA" na la mumewe "BABA" Ila kwenye cm yake akapindisha, akarekodi house girl kama HOUSEBOY, na houseboy akamrekodi kama HOUSEGIRL kwa sababu azijuazo yeye. na kwa maksudi yaleyake akachukukua cm yamumewe na kurekodi kwa usahihi contact za wasaidizi wao yaani houseboy akarekodi kama haouseboy na housegirl vilevle akamrekodi kwa usahihi kama housegirl kwenye cm ya mumewe. maisha yalisonga na mara kwa mara wanaume hupenda sana kuchunguza cm za wake zao in the name of wivu. na akiperuuz sms, zile za house boy na zenye mlengo wa kiume lazma azipitie kwa sababu yeye mwenyewe alikuwa akiruka na housegirl. mara zote anakuta fair sms kwa HOUSEBOY .."mama watoto wamekula".."mama watoto wamelala" .."mama uje na sukari imeisha" ila zile za HouseGirl wala hakusumbuka kuziperuuz kwa sababu alijua hakuna jipya humo.
siku moja usiku(kama kawida yake) huyo mbaba alichukua cm yake baada ya kugundua mkewe ameshalala na anakoroma. akamwandikia msg housegirl lakini kwa bahati mbaya cm haikuwa na credit. na kwa sababau alikuwa na usongo wa kukutana na HG wao kwa sababu ulipita muda kama wiki mbili hawajameet. akanyemelea chini mto ajuapo mkewe huwa anaweka cm yake, akaichukua a kuangalia salio akaona ni chache hawezi kujihamishia. basi ikabidi atumie cm hyo hiyo kumwandikia msg HG wao..
"Sweetie naona Limbwa limeshalala sasa toka fasta uje bafuni chap, uwe mtupu kabisa mie nina usongo sana nikifika tu tuanze, usifanye kelele wala kuwasha taa" baada ya kuandika msg akatafuta kwanye phonebook id ya housegirl na ku-send. (house girl ambaye ni HOUSEBOY kama aivyosave mkewe.).. yule house boy alipoona msg imeingia, na kuangalia from MAMA, akaisoma fasta na majibu fasta yakarudi .. "Hata mimi nina usongo leo nakupa za mfululizo.. njoo haraka please dear"..
mwanaume aka-delete msg yake na reply, akarudisha polepole cm ya mkewe, akaamka, akachukua taulo na kunyata kuelekea bafuni huku sehemu yake ya mbele ikewa tayari tayari. kule bafuni tayari huyo HOUSE BOY, ambaye mwanaume anadhani ni housegirl yuko naye tayari, kisha ile tu kuingia bafuni ....... aisee nimegoma kuendelea kukwambia what hapenn.. gues what happened..malizia manake ni true story... Bongo hii hii...
 
mkuu nimecheka mpaka basi...malizia basi coz taa zimezimwa, naombea tu houseboy asijekuwa ameinama
 
Hahahahahahahaha hii noma aiseeee.....nahisi watakuwa walikulana kwa hasira
 
hapo kila mtu atatoka na hasira halafu itakuwa kimya hakuna kusimulia kila mtu imekula kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom