House girl malaika

Mtoto alikuwa akimwambia mama yake kuwa kila siku amekuwa akimwambia kuwa house girl wao ni malaika anabisha. Mama akamuuliza kwa nini?
Mtoto akamjibu, kila siku namkuta akipiga kelele akitaka kurudi mbinguni.
Jana ndio kidogo tu arudi mbinguni; yani isingekuwa baba leo angekuwa kasharudi, Baba allikuwa nyuma yake akijitaidi kumzuia lakini yeye akawa kainama huku akipiga kelele '' Oooohhh my God i'm coming, i'm coming x4. Wee muulizie tu baba atakuambia alivyojitaidi kumzuia mpka akatulia.

aahahahahaaa! Mala nae baba angeambukizwa u-malaika angesikika anavyo mjibu "wellcome" 4times
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom