House Girl akaleta kisirani “Trial marriage” yangu ikaota mbawa………!

Nilitamani iwe hivyo, lakini nilikuwa na-feel guilty, unajua nilikuwa nampenda sana Honey wangu na tulipanga kufunga ndoa na kuishi pamoja, ni bahati mbaya haikuwa hivyo, binti wa Kimwela akatibua Trial Marriage yangu

Sasa Mtambuzi unajikanganya.

Mara hii story ni ya rafiki yangu, mara "Trial Marriage yangu".

Kipi ni kipi? Au rafiki yako mwenyewe ndiye wewe?

Mara tu imetokea tena umesahau Kireno unaongea Kiswahili?
 
Sasa Mtambuzi unajikanganya.

Mara hii story ni ya rafiki yangu, mara "Trial Marriage yangu".

Kipi ni kipi? Au rafiki yako mwenyewe ndiye wewe?

Mara tu imetokea tena umesahau Kireno unaongea Kiswahili?
Kuna wakati nalazimika kutumia tafsida kwa sababu ninao wanangu humu JF na hawakawii kumweleza mama yao.
 
Acha kuharibu maudhui bana, hiyo siyo stori ya kutunga ni kisa cha kweli kilimpata baba Ngina.................LOL
lakini nawewe ni jasiri ebu sema ukweli ulitumia kondomu au hapo ulipojikuta umeropoka ni kweli uliropoka tuu? hata hivyo kwenda kavukavu inahitaji moyo hata kama kaumbika vipi
 
Una mambo sana weye, haya pole mwaya Babu.
Tamaa ya muda mfupi huzaa dhambi nyingi sana, 1,2,3,4....lol zinazidi kuongezeka.
 
Hii stori alinisimulia afki yangu na wala siyo mimi yaliyonikuta......................LOL

huyu rafiki yako mbona ana mambo!ahahahahhahahhahahhahahhahahhahahahhahahha rafiki yake ! Mtambuzi bana!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kaka ila baadhi ya hawa ndugu zetu ni matatizo makubwa.
Kwa wale wenzangu na mimi ambao ndio unakuta una mchumba unatakuwa kupunguza wenge la KUANGALI VYA PEMBENI
vinginevyo inakuwa balaaa..
 
Back
Top Bottom