House Girl akaleta kisirani “Trial marriage” yangu ikaota mbawa………!

Yule House Girl alikuwa ni Chui ndani ya ngozi ya Kondoo. Kwa kifupi alikuwa ni mzoefu maana amekulia Mbagala, pale alikuwa ana-pretend ili anichote na she was almost succeeed.

Kuhusu kutunga Movie, huo ni ushauri mzuri na nitaufanyia kazi.

Kweli fanyia kazi mi ntakuwa mnunuzi wa kazi zako lol. .movie zetu bado hazijanishawishi sana mana kwa mtu mwelewa sana zinasumbua kushawishi na kukuchukua ujione kweli sasa unawaona mtambuzi na anamkodolea bekitatu bafuni kapagawa. . Uone kitubkama real kumbe unaangalia cinema! Tukipata wachache kama nyinyi mtasaidia saivi soko lipo tu mabeki tatu majumbani wanaongoza kuzifuatilia na watoto! Halafu hapo umekatisha part two itakuwa ulivoanza kubembeleza kusamehewa halafu ukapgwa kibuti tu! Ila bibie nae napata picha alivojisikia vibaya mbele ya ndugu zake jamani! You was such a naughty guy lol. .
 
Alikuwa ni binti wa Kimwela kutokea mkoani Lindi, na alikuwa na heshima ile ya kijijini hasa.

Pole sana Mtambuzi, kisa kinasikitisha, lakini ume-narrate vizuri sana, kama ni Mwela siwezi shangaa hata kidogo, hilo kabila ni balaa, ngono kwao ni kama salamu/handshake, ni nadra kuktaa hata kwa mtu wasiemjua!

Kweli fanyia kazi mi ntakuwa mnunuzi wa kazi zako lol. .movie zetu bado hazijanishawishi sana mana kwa mtu mwelewa sana zinasumbua kushawishi na kukuchukua ujione kweli sasa unawaona mtambuzi na anamkodolea bekitatu bafuni kapagawa. . Uone kitubkama real kumbe unaangalia cinema! Tukipata wachache kama nyinyi mtasaidia saivi soko lipo tu mabeki tatu majumbani wanaongoza kuzifuatilia na watoto! Halafu hapo umekatisha part two itakuwa ulivoanza kubembeleza kusamehewa halafu ukapgwa kibuti tu! Ila bibie nae napata picha alivojisikia vibaya mbele ya ndugu zake jamani! You was such a naughty guy lol. .

Halafu alinisifia sana huko ukweni kama nilivyonukuu hapa chini:

"Nilikuwa na kawaida ya kuwasiliana na yeye kila nikiwa ofisini kwa kutumia simu ya ofisi, na alikuwa ananipa matumaini kuwa mama yake atapona na atarudi ili tuendelee na mipango yetu ya kufunga ndoa. Alinijulisha kuwa mama yake (baba yake alishafariki siku nyingi) na ndugu zake wamenipenda sana baada ya kuona picha zangu na kuwaeleza tabia zangu. Tulifurahi pamoja na tulikubaliana atakaporudi tufunge ndoa rasmi na kuishi pamoja kama mke na mume."

Halafu pata picha jinsi nilivyofedheheka baada ya tukio........................ Inahitaji kuwa na moyo kama mwendawazimu kujitetea kwa dhambi hiyo. Kwani mfululizo wa matukio tukianzia kwenye sababu za kuhama ghafla kule Kinondoni Mkwajuni, kusingizia kuhamia Kizota Dododma, vyote vilinikaba koo......................
 
Pole sana Mtambuzi, kisa kinasikitisha, lakini ume-narrate vizuri sana, kama ni Mwela siwezi shangaa hata kidogo, hilo kabila ni balaa, ngono kwao ni kama salamu/handshake, ni nadra kuktaa hata kwa mtu wasiemjua!

Kumbe na wewe unawajua eh........................!
Usije ukathubutu kuwa na house girl kutoka mikoa ya kusini halafu uwe umewowa mikoa ya Mashariki, umekwisha...................! LOL
 
ba mkwe unatisha kwa vimbwanga
sasa uache kututoa baru tunapokuja kufuatilia binti zako kina cantalisa.
 
Yule House Girl alikuwa ni Chui ndani ya ngozi ya Kondoo. Kwa kifupi alikuwa ni mzoefu maana amekulia Mbagala, pale alikuwa ana-pretend ili anichote na she was almost succeeed.
Ndio maana mkuu, nasema huyo beki tatu alikutega na alijua muda wako unaorudi, na kwa nini aje aoge chumbani kwako? na uenda alikuwa anakula chabo alivyoona unakuja akakimbilia chumbani kwako.
Vishawishi kama hivi kuviepuka mkuu ni vigumu labda kama unamapungufu katika viungo vya dushelele, na ukitilia maanani "your Trial marriage" alikuwa muda mrefu hayupo!
 
Unajua alianza udadisi tangu aanze kazi hapo kwa huyo dada, mara "hivi wifi yuko wapi?" Nilipomweleza kuw kaenda kwao kumuuguza mama yake akajua huo ndio muda muafaka wa kutega nyavu zake na alianzia mbali kweli..................Huwezi kushindana na mwanamke akitaka jambo lake.
 
Mtambuzi unajua kupangilia hadithi yako kwa maandishi..
Mtu akisema hajaelewa,atakuwa na tatizo ubongoni... Stori kama hii aiandike Pdidy..dah...

Ndiyo maana maandiko ya M/Mungu yanasema,ikimbieni zinaa... Zinaa haina mbabe... Dawa ni kuikimbia tu... Yaani palepale ungetoka nje,na kusubiri hata nusu saa ajiandae atoke..

Ungerudi na kukuta mlango uko wazi.. Naye hayupo...

Tatizo lingine ni kuhama... That was a big mistake... Sema,kwa kuwa nawajua wadada wa Kimwera (siyo Kimwela),ni watundu sana kwenye mapenzi,kutokana na unyago heavy wanaoupata utotoni...,ukahofia kumuacha mchumba wako..

Mi mke wangu alipokuwa anasafiri,alikuwa akimchukua housegirl na kumpeleka kwa ndugu zake... Mpaka atakaporudi yeye,ndo hg naye anarudishwa..

Mke wangu pia aliwahi kumkataa hg kabla hata hajaanza kazi yenyewe,wala usiku mmoja hajalala! Na kipindi hicho tulikuwa na crisis ya msichana wa kazi,na tuna mtoto mdogo.Huyo binti alikuwa kabila langu(Mchagga),halafu ni mzuri wa ajabu!

Wife aliniuliza maoni yangu mi namwonaje kama atatufaa ama la,mi nikamwambia, amwache aanze kazi tumwangalie,wakati huo nilijua ntakaribisha matatizo endapo angefanya kazi kwetu...

Ma hg bana... Basi tu!
 
Mtambuzi unajua kupangilia hadithi yako kwa maandishi..
Mtu akisema hajaelewa,atakuwa na tatizo ubongoni... Stori kama hii aiandike Pdidy..dah...

Ndiyo maana maandiko ya M/Mungu yanasema,ikimbieni zinaa... Zinaa haina mbabe... Dawa ni kuikimbia tu... Yaani palepale ungetoka nje,na kusubiri hata nusu saa ajiandae atoke..

Ungerudi na kukuta mlango uko wazi.. Naye hayupo...

Tatizo lingine ni kuhama... That was a big mistake... Sema,kwa kuwa nawajua wadada wa Kimwera (siyo Kimwela),ni watundu sana kwenye mapenzi,kutokana na unyago heavy wanaoupata utotoni...,ukahofia kumuacha mchumba wako..

Mi mke wangu alipokuwa anasafiri,alikuwa akimchukua housegirl na kumpeleka kwa ndugu zake... Mpaka atakaporudi yeye,ndo hg naye anarudishwa..

Mke wangu pia aliwahi kumkataa hg kabla hata hajaanza kazi yenyewe,wala usiku mmoja hajalala! Na kipindi hicho tulikuwa na crisis ya msichana wa kazi,na tuna mtoto mdogo.Huyo binti alikuwa kabila langu(Mchagga),halafu ni mzuri wa ajabu!

Wife aliniuliza maoni yangu mi namwonaje kama atatufaa ama la,mi nikamwambia, amwache aanze kazi tumwangalie,wakati huo nilijua ntakaribisha matatizo endapo angefanya kazi kwetu... Ma hg bana... Basi tu!
Sasa hiyo kesi yako mbona iko tofauti na hii ya kwangu, mimi House Girl hakuwa wangu aliletwa na mpangaji mwenzangu, na huyo mpangaji alikuwa ni mtu wa kusafiri mara kwa mara hivyo tulikuwa tunabaki wawili tu ndani ya hiyo nyumba ingawa kila mmoja alikuw amepanga upande wake.............................
 
Dah, Pole sana mkuu kwa kurushiwa ndege wako. Ila inatakiwa ujue kuwa matatizo hayakimbiwi ila yanatafutiwa ufumbuzi tena wa kudumu.
 
Sasa hiyo kesi yako mbona iko tofauti na hii ya kwangu, mimi House Girl hakuwa wangu aliletwa na mpangaji mwenzangu, na huyo mpangaji alikuwa ni mtu wa kusafiri mara kwa mara hivyo tulikuwa tunabaki wawili tu ndani ya hiyo nyumba ingawa kila mmoja alikuw amepanga upande wake.............................
Na kama mkuu ungekuwa mtaalam wa zinaa! naona "Trial marriage wako" ungemwambia akae huko huko Tabora amuuguze mama, Kwani uhuru ulikuwa mkubwa mno wa kufanya ujinga huo na housegirl.
 
Nilikuwa naongelea challenges za mahousegirl kwenye ndoa za watu mkuu...
 
Na kama mkuu ungekuwa mtaalam wa zinaa! naona "Trial marriage wako" ungemwambia akae huko huko Tabora amuuguze mama, Kwani uhuru ulikuwa mkubwa mno wa kufanya ujinga huo na housegirl.
Nilitamani iwe hivyo, lakini nilikuwa na-feel guilty, unajua nilikuwa nampenda sana Honey wangu na tulipanga kufunga ndoa na kuishi pamoja, ni bahati mbaya haikuwa hivyo, binti wa Kimwela akatibua Trial Marriage yangu
 
Back
Top Bottom