House Girl akaleta kisirani “Trial marriage” yangu ikaota mbawa………!

Kwa kweli mkuu unavisa sana na vinaniacha hoi.
So unakatoto chotara?
Hongera kitanda hakizai haramu
Nilikakana pale pale Tekmeke Hospitali, mie nilee mimba ambayo siyo yangu, na mtoto pia!?
Hata mizimu ya mababu zangu itaamka huko kaburini..............LOL
 
Kweli yalikukuta, kulea mimba ya muarabu?
Mke mtarajiwa sijui alipata mwanaume mwingine wa kumuoa? hebu mtambuzi fuatilia hili

Nilishajibu hiyo maneno, soma hapo chini:
Hata house girl alipojifungua, mchumba wa Kinyamwezi alishaolewa kitamboo.................................!
Siku hizi tukionana tunabaki kutaniana tu lakini utukufu sioni ndani, kwani ashakuwa mke wa mtu
 
Balaa
Na akirudi kw ayule dada wa trial marriage anakuta kashaolewa
huku matunzo ametoa kumbe mmtoto wa kiarabu anazaliwa
Mbona balaa jingine hapo
 
Hahahaaa story tamu.. Mtambuzi uliutumia vizuri sana ujana wako saivi mamangina asiwe na wsws duh!
 
Hahahaaa story tamu.. Mtambuzi uliutumia vizuri sana ujana wako saivi mamangina asiwe na wsws duh!

Siku hizi hata hizi Skin Jinzi na Vimini wala havinitishi......................Nimekuwa kama Fisi aliyeshiba, hata nikiona mzoga wala sitamani!
 
Duuuuuuuuuuu! ni stori lakini hii maneno inatokea sana! wengi tunalea visivyo vyetu. Acha tusiseme mengi usije ukazuka mjadala wa kijinsia halafu wenye mihasira wakaharibu maudhui ya uzi huu mwanana!
 
Ila sasa kwa yaliyokukuta afadhali hata ungekuwa uliiba na mara ya pili! Alafu uyo beki tatu mwanzo alikuwa haongei badae mbona amekuwa mtaalamu mpaka wa kizota nk! Ila utakuwa mtunzi mzuri sana mtambuzi ingia hata kutengeneza movie zinalipa kweli bongo naona kwa sasa, mana nina wasiwasi ukiwauzia story malipo kidogo sana! Cause hata the way unavosimulia si wote wenye uwezo wa kusimulia kitu kikaeleweka kama ufanyavo! Short but clear. .
 
Duuuuuuuuuuu! ni stori lakini hii maneno inatokea sana! wengi tunalea visivyo vyetu. Acha tusiseme mengi usije ukazuka mjadala wa kijinsia halafu wenye mihasira wakaharibu maudhui ya uzi huu mwanana!
Acha kuharibu maudhui bana, hiyo siyo stori ya kutunga ni kisa cha kweli kilimpata baba Ngina.................LOL
 
Ila sasa kwa yaliyokukuta afadhali hata ungekuwa uliiba na mara ya pili! Alafu uyo beki tatu mwanzo alikuwa haongei badae mbona amekuwa mtaalamu mpaka wa kizota nk! Ila utakuwa mtunzi mzuri sana mtambuzi ingia hata kutengeneza movie zinalipa kweli bongo naona kwa sasa, mana nina wasiwasi ukiwauzia story malipo kidogo sana! Cause hata the way unavosimulia si wote wenye uwezo wa kusimulia kitu kikaeleweka kama ufanyavo! Short but clear. .
Yule House Girl alikuwa ni Chui ndani ya ngozi ya Kondoo. Kwa kifupi alikuwa ni mzoefu maana amekulia Mbagala, pale alikuwa ana-pretend ili anichote na she was almost succeeed.

Kuhusu kutunga Movie, huo ni ushauri mzuri na nitaufanyia kazi.
 
duh hiyo fundisho kwa akina baba ambao hawatosheki na wake zao, hakuna tabia mbaya kama kutembea na house girl maana unmdhalilihsa mwenzi wako heshima inakuwa hamna. majaribu kaumbiwa mwanadamu huna budi kuyashinda
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom