House for sale at mbezi beach

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,060
281
It is situated at Mbezi Beach in Kinondoni Municipality not very far under construction the new Bagamoyo Road. The House has 4 big bedroom, the far most big one is the master suite with which has by itself a study room , living room and a double huge baLcons. This house is one good houses which have been designed to comfort the persons dwelling within. There are also a big sitting room on ground floor. The price is tshs 650mil. For more information about this property call: 0717114409.
 
Attachments

  • SDC10307.JPG
    SDC10307.JPG
    48.4 KB · Views: 98
  • SDC10306.JPG
    SDC10306.JPG
    64.2 KB · Views: 77
  • SDC10311.JPG
    SDC10311.JPG
    35.7 KB · Views: 82
  • SDC10312.JPG
    SDC10312.JPG
    37.9 KB · Views: 84
  • SDC10313.JPG
    SDC10313.JPG
    35.7 KB · Views: 73
  • SDC10314.JPG
    SDC10314.JPG
    30.9 KB · Views: 73
  • SDC10315.JPG
    SDC10315.JPG
    31.3 KB · Views: 76
  • SDC10316.JPG
    SDC10316.JPG
    44.2 KB · Views: 85
Milioni 650?? Jamani haya matanganzo mengine hayatufai humu........Bora uwasiliane na Mafisadi directly
 
Kwa nini tunaweka matangazo humu? Najua jibu unalo ila pengine linaweza lisiwe sahihi sana.Nitatoa ufafanuzi kidogo. kwa mujibu wa ALEXA, Jamii Forums inashika nafasi ya 8 katika top 500 sites in TZ. Tena hizo nyingine 7 zilizopo juu ya Jamii ni sites za kigeni ikiwamo Facebook. Tena ukitoka namba 8 kushuka chini unatembea mwendo kidogo kuikuta site nyingine ya kibongo. Kwa upeo wangu niimeona niweke humu vya kutumia hivyo vigezo.Naona mwenzangu unajua vizuri wapi matangazo kama hayo yanapaswa kuwekwa na nitashukuru sana iwapo utanitumia orodha ya sites ambazo wewe unaamini tangazo kama hilo lilipaswa kuwekwa.Asanta.
 
kitomai huna viwanja vya medium kwa bei chini ya milioni 5???vyenye hati????
 
It is situated at Mbezi Beach in Kinondoni Municipality not very far under construction the new Bagamoyo Road. The House has 4 big bedroom, the far most big one is the master suite with which has by itself a study room , living room and a double huge baLcons. This house is one good houses which have been designed to comfort the persons dwelling within. There are also a big sitting room on ground floor. The price is tshs 650mil. For more information about this property call: 0717114409.
ohhhhh lord have merch! unfinished house for 650 mill
 
Kitomai, mpefeedback mwenye nyumbakwamba it is not worth 650M

finishing is poor, madirisha madogo sana, it has hard and stubborn design that resist modifications, very dark and limited airflow

i am aying this kwa nia njema na sio wivu
 
kitopeni, nimeambiwa vimepimwa na kila documents zipo... karibu na ule mradi wa green retreat

mtm huyo aliyeleta hiyo thread hapa hakujibu pm yangu kabisa
wewe una mwingine wa uhakika?????
 
i know this project and i have been there

you can call one Musa 0717 504690

ila sina hakika kama bado vipo... i lost interest coz theywere expensive sana kwangu

walisema kiasi gani??????
 
walisema kiasi gani??????
walikua wanauza 10.500 kwa square meters nikashindwa, i bought jirani na hapo kwa 4500 kwa sq meters... ila nadhaniwatakua wanamalizia

if you are interested in check, it is also closer to the road kuliko vile vingine
 
Hiyo nyumba, qualitywise ni very poor kabla hata ya kuanza discussion ya bei. Hili ni tatizo mno bongo lakini ukirudi nyuma unakuta asili ya tatizo ni lack of training. Mafundi wengi bongo na wasaidizi wao hawajapata mafunzo ya aina yeyote zaidi ya ujuzi kazini na uzoefu. Hii mara nyingi husababisha kutokuwepo na consistency ya ubora, lakini jingine husababishwa na wenye nyumba wenyewe kununua materials za bei rahisi.

Hivyo basi kwa ushauri kama muuzaji yuko srious na hiyo 650mn basi hana budi kutumia around 200mn kwanza kuboresha hiyo nyumba kabla ya kuiuza!
 
Kwa nini tunaweka matangazo humu? Najua jibu unalo ila pengine linaweza lisiwe sahihi sana.Nitatoa ufafanuzi kidogo. kwa mujibu wa ALEXA, Jamii Forums inashika nafasi ya 8 katika top 500 sites in TZ. Tena hizo nyingine 7 zilizopo juu ya Jamii ni sites za kigeni ikiwamo Facebook. Tena ukitoka namba 8 kushuka chini unatembea mwendo kidogo kuikuta site nyingine ya kibongo. Kwa upeo wangu niimeona niweke humu vya kutumia hivyo vigezo.Naona mwenzangu unajua vizuri wapi matangazo kama hayo yanapaswa kuwekwa na nitashukuru sana iwapo utanitumia orodha ya sites ambazo wewe unaamini tangazo kama hilo lilipaswa kuwekwa.Asanta.

Sawa kaka, sina nia mbaya na hayo matangazo.....ila kimtazamo wangu niliona kama vile ni kutaniana kwa hizo bei, ila kama wapo wenzangu wao zimudu bei hizo...basi mdomo wangu naufunga kuanzia leo. ..Na samahani km nilikukera.
 
Hiyo nyumba, qualitywise ni very poor kabla hata ya kuanza discussion ya bei. Hili ni tatizo mno bongo lakini ukirudi nyuma unakuta asili ya tatizo ni lack of training. Mafundi wengi bongo na wasaidizi wao hawajapata mafunzo ya aina yeyote zaidi ya ujuzi kazini na uzoefu. Hii mara nyingi husababisha kutokuwepo na consistency ya ubora, lakini jingine husababishwa na wenye nyumba wenyewe kununua materials za bei rahisi.

Hivyo basi kwa ushauri kama muuzaji yuko srious na hiyo 650mn basi hana budi kutumia around 200mn kwanza kuboresha hiyo nyumba kabla ya kuiuza!

Mkuu Nyambala unaweza kutoa mfano wa kitu gani umeona hapo amabcho ni moja ka moja kiaonyesha kuwa nyumba haina ubora? Hii yaweza kutusaidia wengine katika pilikapilika zetu za ujenzi. Asante.
 
we uoni hata hiyo nyumba imekaa kama imeegeshewa kwenye mlima? haiko wima, imejengwa tu bala hata ramani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom