House For Rent (Sharing Bases) Mbezi Tangi Bovu

Bond James

Member
Nov 25, 2010
54
7
JF kheri ya mwaka mpya,

Kuna nyumba inapangishwa Mbezi Beach (Tangi Bovu) (Please note sharing basese)

Nyumba nzima ina pangishwa kwa kodi ya laki tatu kwa mwezi, (300,000.00) kama kuna mtu anataka kupanga ili muwe wawili
wawili kwa kulipa kodi ya 150,000.00 kila mwezi, kila moja please call this number 0757-291560.

Nymba ina vyumba vitatu vya kulala including, sebule kubwa, dining room, jiko

Please hakuna dalali anayetakiwa
 
hapo kwenye red sijakuelewa
 
Unaweza kufungishwa ndoa kinyemela hapo.mi ni mdada huyo patner ni he au ni she ?
 
Swali nzuri (sharing basis means.....) badala ya kulipa kodi ya mwaka kodi ya mwaka 3,600,000.00 kwa mtu mmoja, wakati ni nyumba ni kubwa, watu wawili changangia hiyo gharama ya kodi. Kama wote ni wastaarabu hakuna mambo ya ndoa
 
Mkuu Kodi unachukua kwa muda gani? Kila baada ya mwezi au Miezi au mwaka?
 
Jamani hata nyumba ya kupanga, mnataka picha? Jamani pungunzeni ushabeki. Kodi inayotakiwa ni ya mwaka kwa kila mtu.
 
Jamani hata nyumba ya kupanga, mnataka picha? Jamani pungunzeni ushabeki. Kodi inayotakiwa ni ya mwaka kwa kila mtu.

Ingekua muonekano sio muhimu watu wasingekua wanaenda kuangalia kabla ya kusema wanapenda au la. Kama unafanya biashara na uko serious endana na matakwa ya wateja, na usisahau kutumia common sense.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom