House for Rent - Nyumba Inapangwishwa

Bongo bana nyumba imejaa magrili utafikiri ofisi ya Segerea.......... Gd luck mkuu..................

Ndo hali halisi ya bongo "Nyambala" na kama usipofanya hivyo basi kitakachofuata si wakielewa..! :painkiller:
 
Haya ndiyo serikali yetu ingekuwa makini ingekuwa inayapiga vita na kuhakikisha kwamba hayatokei. Kwa nini kodi inatakiwa kulipwa kwa dola? Kwa nini kodi inatakiwa kulipwa kwa zaidi ya mwezi mmoja in advance? Nafikiri huu ni wakati sahihi wa serikali kuingilia kati na kuja na sheria ya kuzuia wenye kudai kodi kwa USD na pili kutaka kodi zaidi ya mwezi mmoja. Mimi nafanya kazi na mshahara nalipwa mwisho mwa mwezi, sasa unaponiambia nilipe kodi mwaka mzima hizo pesa nimezipata wapi? Kwa mtindo huu tunakaribisha rushwa, wizi na ufisadi!!!!

Tiba

Hapo naona unataka kumletea mwenye nyumba shida zako na maelezo marefuuuuuu', Nyumba inapangishwa wewe waanza kutoa maelezo ya kuwa fedha utaitoa wapi?

Nani anataka kujua????? Nyumba inapangishwa kama waweza kupanga na umaipenda panga sio waleta siasa....:angry::angry::angry::angry:

Mtu chake, alivyokipata na kuhangaika hukumsaidia hata chembe, so ... mwache ale matunda yake bana acha roho zako za vikwazo....!!!

Kwa taarifa yako huyu mtu analipa kodi TRA kila mwezi katika kodi aipatayo kwenye rent

Well kuhusu wizi na ufisadi uko toka enzi ya musa.... wewe umejua sasa kijana??? jua yako acha maisha ya watu:angry::angry::angry::angry:

Ni mtazamo tuuu
 
Haya haya wadau naona wengi wenu wamelalamika kwa bwana Salim kuwa $2500 nyingi sana

Sasa mawazo/ushauri wa wengi yametiliwa maanani na bei ya pango imeshushwa mpaka $1800 kwa mwezi

Kaazi kwenu sasa wadau
 
Hapo naona unataka kumletea mwenye nyumba shida zako na maelezo marefuuuuuu', Nyumba inapangishwa wewe waanza kutoa maelezo ya kuwa fedha utaitoa wapi?

Nani anataka kujua????? Nyumba inapangishwa kama waweza kupanga na umaipenda panga sio waleta siasa....:angry::angry::angry::angry:

Mtu chake, alivyokipata na kuhangaika hukumsaidia hata chembe, so ... mwache ale matunda yake bana acha roho zako za vikwazo....!!!

Kwa taarifa yako huyu mtu analipa kodi TRA kila mwezi katika kodi aipatayo kwenye rent

Well kuhusu wizi na ufisadi uko toka enzi ya musa.... wewe umejua sasa kijana??? jua yako acha maisha ya watu:angry::angry::angry::angry:

Ni mtazamo tuuu

Watu wa aina yako wapo wengi sana leo hii hapa Bongo.Lakini angalia na wewe siku moja ukawa victim wa huo ufisadi unaoutetea leo
 
Back
Top Bottom