House Cleaning

Lizy, we women arent their servants they also have to cook and wash as well if i can do it why not him ... its another way of expresing love and care for your spouse kwanini usubiri mpaka I do it ... kama they cant .. sawa bedroom we take care but others house girl can manage ... Hey Girl! you are giving them breathing space here wazidi kutukandamiza

naimaomaro,

Ni kweli kabisa unavyosema 'we are not their servant'. Sikuweka wazi zaidi, ila mwenye kuelewa na ataelewa kwamba if they can work and do bussiness, we also can. Hivyo ile lugha kwamba wao watafutaji na sisi tupo nyumbani hivyo majukumu ama shughuli za nyumbani ni zetu haina nafasi tena. The so called "Team work" shouldn't be at the work place only, hata nyumbani iwepo. Kusaidiana kama enzi zileeeeee, za urafiki na uchumba, ndoa isitubadilishe.

interesting stuff!!
tukiacha mambo ya kitandani, je ladies mnapenda mfanyiwe nini na wenzi na mnadhani wao wanapenda muwafanyie nini?
Na gents mnapenda kuwafanyiwa nini na nyie mnadhani wao wanapenda kufanyiwa nini na nyie?
Mimi kwa kuanzia
Napenda nisaidiwe kazi, huwa najisikia raha sana pale baba nanihii anaponisaidia labda kubeba japo glasi yake maji akaipeleka jikoni akaisuuza, au kama napasi akabeba ile nguo ilio tayari akaipeleka mahali pake. yani nampenda mnoo saa hiyo, ni kama vile ananiapproach tena.
Na mimi nadhani anafurahi pale anaponikuta napika (sio kila siku) au nahangaika na nguo zake, kama kushona kifungo nk.

Haika,

Really interesting.

Napenda once in a while nikiwa jikoni napika, basi aje akae akinipigisha stori. I mean nitafeel kama ananisaidia vile, kulikoni yeye yuko huko sijui anaangalia TV huku akiburudika na glasi ya Gongo, hiyo glasi yake aje nayo jikoni, avute kiti na mimi mapishi yanaendelea, story kwa mbali.

Siku moja moja basi na yeye basi anisuprise nikitoka kibaruani nikute kapika lol. (Hapa shughuli, lkn ndio ukweli). Au hata week end hivi, wakati mimi nitakuwa nikifanya hizo shughuli zingine (kufua, usafi wa nyumba nk) achemshe basi hata hiyo chai!
 
naimaomaro,

Ni kweli kabisa unavyosema 'we are not their servant'. Sikuweka wazi zaidi, ila mwenye kuelewa na ataelewa kwamba if they can work and do bussiness, we also can. Hivyo ile lugha kwamba wao watafutaji na sisi tupo nyumbani hivyo majukumu ama shughuli za nyumbani ni zetu haina nafasi tena. The so called "Team work" shouldn't be at the work place only, hata nyumbani iwepo. Kusaidiana kama enzi zileeeeee, za urafiki na uchumba, ndoa isitubadilishe.

Haika,

Really interesting.

Napenda once in a while nikiwa jikoni napika, basi aje akae akinipigisha stori. I mean nitafeel kama ananisaidia vile, kulikoni yeye yuko huko sijui anaangalia TV huku akiburudika na glasi ya Gongo, hiyo glasi yake aje nayo jikoni, avute kiti na mimi mapishi yanaendelea, story kwa mbali.

Siku moja moja basi na yeye basi anisuprise nikitoka kibaruani nikute kapika lol. (Hapa shughuli, lkn ndio ukweli). Au hata week end hivi, wakati mimi nitakuwa nikifanya hizo shughuli zingine (kufua, usafi wa nyumba nk) achemshe basi hata hiyo chai!

GT,

Another reason not to get married.Are you counting? what is this now the fourth?
 
You know what you have to do before getting married? Do anything you want to do. And after getting married, two secrets to keep your marriage brimming
1. Whenever you're wrong, admit it,
2. Whenever you're right, shut up.

By all means marry. If you get a good wife, you'll be happy. If you get a bad one, you'll become a philosopher
 
Kweli huku ndani najifunza mambo mengi sana, mi ningeacha dada/kaka msaidizi aje kusafisha chumbani kwangu, nimeondoka na somo la maana sana leo.

And after getting married, two secrets to keep your marriage brimming
1. Whenever you're wrong, admit it,
2. Whenever you're right, shut up.

Mama, hapa kweli umenipa raha kweli, this is very true, afadhali kuwa honest! Afterall, we are from Venus!
 
Kweli huku ndani najifunza mambo mengi sana, mi ningeacha dada/kaka msaidizi aje kusafisha chumbani kwangu, nimeondoka na somo la maana sana leo.

Mama, hapa kweli umenipa raha, this is very true, afadhali kuwa honest! Afterall, we are from Venus!

You know why men can't live without women, they are part of us: Female have male in it, Women have men in it. So if we perish they perish too, they have to be part of us, no choice!
 
Imetulia hii, maybe this inaweza kuwafungua akili wale kina kaka/baba ambao wana ile syndrome yakuwa "kuoa" mwanamke ni kumfanyia favor.
 
What?????, Did I get it correct that kwamba wapo wanaosema kuoa mwanamke ni kumfanyia "FAVOR"?

Guess what, They are officially WRONG. It even sound better in the other way round lol.
 
Imetulia hii, maybe this inaweza kuwafungua akili wale kina kaka/baba ambao wana ile syndrome yakuwa "kuoa" mwanamke ni kumfanyia favor.

...Kisura, favor gani hizo tena? hivi bado kuna ndoa bila hiari ya mtu kweli? (I mean mijini)
 
anyway, inatergemeana na kila mtu na tafsiri yake ya marriage, take it easy ladies...maisha ni jinsi mwenyewe unavyotaka yawe, raha jipe mwenyewe!
 
if you are married you will never be afraid of terrorism, marriage is like the only war where one sleeps with the enemy!

LOL!...Mama! Siku anapokuwa enemy kitanda kinagawanywa nusu kwa nusu....:) Hakuna anayemwambia mwenzie lakini kila mmoja anajitahidi kutomgusa mwenzie... ni mwiko kabisa...:) na uadui unapoisha basi ni maluv maluv mtindo mmoja....LOL!
 
Mnakigawa kitanda kwa pillows? ha ha haaa, halafu hakuna kulala kila mtu anahesabu paa kivyake. Uzuri baada ya soo kwisha kwa namna yeyote ile iwayo, basi hapo honeymoon huanza upya, na ndo raha ya ndoa inapokuja hapo. Yaani kila kitu kibaya mnasahau na hata watoto unatamani uwape likizo kidogo kwenda kumsalimia bibi! Ni raha tupu, yaani don't dare to miss the experience.
 
Ndiyo raha ya ndoa hiyo, watu wamejikita zaidi kujadili matatizo ya ndoa lakini pia kuna raha zake nyingi kuliko hata hayo matatizo...:) Kunakuwa na mpaka usioonekana lakini kila mtu anajua huu ndio mpaka...:) hujaona hili hata kwenye baadhi ya movies?
 
hizo za kwenye movies sio za kuamini maana zimetengenezwa, labda Brad and Angelina wanaexperience tofauti.

Matatizo yapo kama yalivyo kwa singles ila raha za ndoa zinaoverweigh matatizo na karaha. Ukiingia ndani ya ndoa na ukaikuta imekubali utajiuliza kwa nini hukuingia mapema.
 
hizo za kwenye movies sio za kuamini maana zimetengenezwa, labda Brad and Angelina wanaexperience tofauti.

Matatizo kama yalivyo kuwa singles ila raha za ndoa zinaoverweigh matatizo na karaha. Ukiingia ndani ya ndoa na ukaikuta imekubali utajiuliza kwa nini hukuingia mapema.

That is true kuna watu wengine wakiona divorce rate ya hasa za nchi za magharibi ambazo zinacheza kati ya 40% na 60% basi wanaona ya nini wajiingize kwenye matatizo ambayo kuna kati ya 40% na 60% ya kuishia kwenye divorce, lakini nasikia miaka ya karibuni hizo rates zimeanza kupungua sana.
 
...ndio maana mara zote nawausia watu wachane na kauli kama, "huyo mume/mke hakufai! muache!"... wanandoa ni sawa na siri ya mtungi!

maisha ya ndoa kama safari baharini, kuna mawimbi ya hapa na pale, dhoruba kali saa nyingine, na kuna kipindi shwariiiii,...

hapo nyuma nilitoa mfano wa 'siku mbaya', ambayo kuanzia kumekucha mpaka machweo ni kibano tu!, lakini kama mmoja ataamua kujishusha, aaaah, haichukui hata muda utasikia, sasa nawe unanuna nuna nini... na vicheko vinaanza upya, mikumbatiano na mabusu kama sio nyie...

udugu wa shuka huo!
 
That is true kuna watu wengine wakiona divorce rate ya hasa za nchi za magharibi ambazo zinacheza kati ya 40% na 60% basi wanaona ya nini wajiingize kwenye matatizo ambayo kuna kati ya 40% na 60% ya kuishia kwenye divorce, lakini nasikia miaka ya karibuni hizo rates zimeanza kupungua sana.

Kweli kabisa. Mimi nadhani katika mapenzi usichukue experience ya mtu, au hata ukiwa divorced usiogope kuanza uhusiano mwingine kwa kuwa umeshaumwa na nyoka basi ukiguswa na unyasi unashtuka. Na pia nawapa kudos wanaoweza kudivorce maana siyo jambo dogo, lazima kunakuwa na sababu nzito kwa most of them.

Katika maisha hatutakiwi kutaka kuishi kama fulani, let nature take its natural course na tuishi tuwezavyo na tupendavyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom