House boy au house girl - nani zaidi?

Kabla sijachangia chochote kuna true story kuna hausi geli tulikuwa nae alimegwa na nyumba nzima kasoro sisi 2 nyumba ilikuwa na vijana wa kiume 8 yaani ilikuwa kimya kimya baadae baba mwenye hausi nae akaanza kumega ndo tukaja kugundua hausi geli kawapa uroda vijana wenzetu 6 alafu na baba wa hausi akaja na mlinzi nae duh.

Jirani sasa ikatokea mmoja wao ana Ngoma si ameteketeza familia yote?,kwani in long run mama mwenye nyumba naye ataingia kwenye chain hiyo,it is sad story indeed!!!
 
Hee! yamesha kuwa haya mweh!
mbona unashangaa mzee wa Tigo, mimi naona kazi ya u house boy utafute wewe, yani hapo ndani kuanzia mama, watoto(she na He's) wote unachakaza, si unajua tena ukiwa unatumia mtandao wa tigo.
 
mbona unashangaa mzee wa Tigo, mimi naona kazi ya u house boy utafute wewe, yani hapo ndani kuanzia mama, watoto(she na He's) wote unachakaza, si unajua tena ukiwa unatumia mtandao wa tigo.

Hahahahaha nitake radhi au unipe ofa niwe hausi boy wako
 
una utelezi mdomoni shemeji.....hahaaa Carmel kiboko yako!!!

Afadhali uwe mdomoni! lol! Carmel ni mpwa wangu, hawezi kuwa kiboko yangu. Tunaheshimiana siwezi kumtelezea mdomoni. Nitake radhi!
 
Afadhali uwe mdomoni! lol! Carmel ni mpwa wangu, hawezi kuwa kiboko yangu. Tunaheshimiana siwezi kumtelezea mdomoni. Nitake radhi!

shemeji umesema ulimi umeteleza....so I was wondering.....
 
Mahouse boy wanaweza kazi nyingi zaidi,mnaweza toka usiku huku huose boy anageuka mlinzi,wasichana waoga sana kubaki peke yao usiku!!

Hizo kazi hizo! Hizo kazi nyingi hizo! Hahaha! Na huo ulinzi huo! Ama kweli kama unampenda, utamlinda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom