House boy au house girl - nani zaidi?

kaka Masanilo hiyo Avatar yako tu inaonyesha mambo ya hatari tupu kwenye anga fulani,sasa tukikuleta nyumbani usalama utakuwepo kweli?,bora kuzuia kuliko kuponya!!!

Babygirl unamwogopa Masanilo? Anaomba kazi ya uhausiboi na si vinginevyo!
 
kaka Masanilo hiyo Avatar yako tu inaonyesha mambo ya hatari tupu kwenye anga fulani,sasa tukikuleta nyumbani usalama utakuwepo kweli?,bora kuzuia kuliko kuponya!!!

OOOhh jamani! I will change that avatar...je nitaweza fikiriwa? Nitakuhakikisha nakuwa the best ever houseboy....nitakufulia hata vikufuri....nitakubeba na hata kukulisha......Kindly consider my application favorably......

Yours

Masanilo Kugema
 
Kabla sijachangia chochote kuna true story kuna hausi geli tulikuwa nae alimegwa na nyumba nzima kasoro sisi 2 nyumba ilikuwa na vijana wa kiume 8 yaani ilikuwa kimya kimya baadae baba mwenye hausi nae akaanza kumega ndo tukaja kugundua hausi geli kawapa uroda vijana wenzetu 6 alafu na baba wa hausi akaja na mlinzi nae duh.
 
Thats my girl! Haya nambie we unaprefer hausiboi au hausigeli?

Tukiweka pembeni mambo yaliyotaja hapo ya kuwapa watoto wa nyumbani espirience,House boy wanafaa sana kwani wanaweza kazi za gardeni,wanaweza kuosha magari,wanaweza kutunza mbwa kuanzia kuwapikia mpanka kuwaosha,hause girl hawezi gusa gari,gadeni au mbwa!!
 
Je tusipoweka pembeni yaliyotajwa? Ni afadhali hausigeli amegwe na mzee na watoto wako au hausiboy akumegee wanao na wewe ukiwa na hamu na mzee hayupo akumege pia?
 
Kadude kenyewe kama bamia, raundi moja anapumua kama kitimoto.....

Kazi kweli kweli hawa mahausi boy jamani bora ukae na ndugu yako tu kama ni wa kike wa kiume NO hawakawii kumpanda shemeji yao 'oooh shemeji shemeji huku wazima taa'
 
Kabla sijachangia chochote kuna true story kuna hausi geli tulikuwa nae alimegwa na nyumba nzima kasoro sisi 2 nyumba ilikuwa na vijana wa kiume 8 yaani ilikuwa kimya kimya baadae baba mwenye hausi nae akaanza kumega ndo tukaja kugundua hausi geli kawapa uroda vijana wenzetu 6 alafu na baba wa hausi akaja na mlinzi nae duh.

Mpwa hata denda hukuonja?
 
Huyo anaitumia vibaya picha yangu,im sorry for him!!

Lakini wewe kama ni kweli ndio uliyetuma hii picha kwa email na uliandika kwa Ki-english na kuonyesha kuwa kiswahili kinakupa shida vile umeishi nchi jirani na pia mpakani na kule wanakopigana wenyewe wenyewe. Any clue yet?
 
Mpwa hata denda hukuonja?

Hahahahaha mpwa mm nilikuwa nakula kwa macho tu maana toto lilikuwa limewiva balaa yaani Eliza haoni ndani alafu mambo yangu yale mugongo mugongo balaaa.

Alijiexpress tu!

Hahahaha mpwa mm nilishia kujiexpress kwa macho tu na kumeza mate maana toto lilikuwa limesimama kweli kama wale watoto wa pale Kibanda Maiti kwenye pweza wazuri pale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom