House boy au house girl - nani zaidi?

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
House boy anatembea na mke na watoto wa bosi wake wa kiume na wa kike, na house girl anatembea na baba/bosi wake na watoto wa kiume wa bosi wake.(Kwa baadhi tu ya hb na hg na sio kwa wote).

Je yupi anafaa kuwa mfanyakazi wa nyumbani??
 
hamna anaefaa hapo mazee!
nikuulize wewe yupi ANAKUFAA?!.......:D
 
hamna anaefaa hapo mazee!
nikuulize wewe yupi ANAKUFAA?!.......:D

Afadhali umerudi nyumbani nilikuona kwa kina Zitto Kabwe pale mnabadilishana mawazo. Mimi ndio sijui nichukue yupi -kwa vitendo vyao vibaya.
 
Hili swali halina uelekeo, umeonyesha mapungufu bila faida. what i can say is, siyo wote wako hivyo so wote wanafaa as per your need.
 
Hakuna bora, wote hawafai.

Dawa ni kuwa na wale wanaokuja na kuondoka, wa kulala ni noma!
 
Afadhali umerudi nyumbani nilikuona kwa kina Zitto Kabwe pale mnabadilishana mawazo. Mimi ndio sijui nichukue yupi -kwa vitendo vyao vibaya.
HA HA HA!
kuna kitu hujakinoti kuhusu thread za zitto........!
ni kama movies fulani za drama.mimi huwa zinanifurahisha kuzifuatilia NI KAMA MOVIE FULANI LA KIHINDI!:D
 
Hili swali halina uelekeo, umeonyesha mapungufu bila faida. what i can say is, siyo wote wako hivyo so wote wanafaa as per your need.

Nilihitaji tuyajadili mapungufu kwa vile yamezidi faida zao.
 
Kwa mfano kumegwa kwa mkeo na house boy ni tabia ya mkeo kutoridhika likewise kwa mwanamke.

Watoto kumegwa na houseboy kuna aina fulani ya attraction inatokea na tendo linafanyika, sasa basi kwa style hiyo lazima uweke distance kati ya hao watu. kwa mfano: kama una watoto wa kike wengi I suggest weka housegirl na kama una watoto wa kiume wengine basi weka houseboy they can fit/adjust accordingly.

Vinginevyo unahatarisha familiayako.
 
Afadhali umerudi nyumbani nilikuona kwa kina Zitto Kabwe pale mnabadilishana mawazo. Mimi ndio sijui nichukue yupi -kwa vitendo vyao vibaya.

Alikuwa anafanya nini kule? Ngoja nim-PM naona mpwa anataka ban! To me afadhali hausigeli kwa kuwa ntakuwa najisevia na watoto watakuwa wanapata eksipiriensi! Houseboy kunimegea waifu na watoto wa kiume na wa kike? Unamaanisha tigo siyo? Haivumiliki! Hivi silaha zinauzwa wapi vile?
 
mpwaaaz bana!
mimi simuhitaji beki tatu wala hausi-boi
 
Hausigel anamsaidia waifu hasa kipindi kile anachokuwa kwenye unajimu! Hausiboi ni STRICTLY PROHIBITED kwa nyumba ya ze Pillarz!
 
Alikuwa anafanya nini kule? Ngoja nim-PM naona mpwa anataka ban! To me afadhali hausigeli kwa kuwa ntakuwa najisevia na watoto watakuwa wanapata eksipiriensi! Houseboy kunimegea waifu na watoto wa kiume na wa kike? Unamaanisha tigo siyo? Haivumiliki! Hivi silaha zinauzwa wapi vile?

Umenichekesha hapa, ni kweli nimesikia visa vingi vya house boy kuvizia mzee ukisafiri mwezi 3 au 4 anageuka baba wa nyumba anaanza na mama mpaka watoto wa jinsia zote 2(she/he). Bora nichukue house gal then mimi nijiheshimu. kama atatembea na watoto wangu wa kiume bora kuliko house boy(Mungu apishe mbali)
 
Afadhali umerudi nyumbani nilikuona kwa kina Zitto Kabwe pale mnabadilishana mawazo. Mimi ndio sijui nichukue yupi -kwa vitendo vyao vibaya.

House girl (Beki tatu) huyu analeta heshima nyumbani hasa anapokuwa ni mkali kuliko mamsapu! Nafikiria Kamiss City Centre fulani kuwa haouse girl mama akisasiri basi kana shika mikoba ndani kwa ndani!
 
Umenichekesha hapa, ni kweli nimesikia visa vingi vya house boy kuvizia mzee ukisafiri mwezi 3 au 4 anageuka baba wa nyumba anaanza na mama mpaka watoto wa jinsia zote 2(she/he). Bora nichukue house gal then mimi nijiheshimu. kama atatembea na watoto wangu wa kiume bora kuliko house boy(Mungu apishe mbali)

Nadhani umeona SENKSI niliyokugongea. Hahaha! House girl anakusaidia kuwapa watoto eksipiriensi! At the same time mama akikubania unakuwa huna sababu ya kuhangaika mitaani na mabaamedi. Unajisevia kilainiiii!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom