Hotuba za Rais kwa Taifa kila mwisho wa mwezi!

Maneno Mengi ya JF yanamtia Uoga Sana ni Bora Aache Kusoma Humu manake nikipiga Picha Akiwa Anasoma JF huwa anatetemeka...

Pole Sana Mr. Dhaifu
 
Dhaifu hawezi thubutu? kwanza ana soo na USA na issue ya IRAN, pili bado hajapata wazee ambao atalihutubia Taifa udhaifu wake kupitia kwao (wazee)
 
Mpaka sasa bado kimya na hakuna dalili yoyote kwenye TV au radio kwa rais kuhutubia.
Sasa basi mwana JF yoyote mwenye uwezo wa kuipata hutuba hiyo atuwekee humu tuisome wenyewe,maana tumechoka kusubiri na hakuna kuzingatia tena protokali.
 
Wakuu, hivi leo JK ana mpango wa kuhutubia Taifa kama ilivyokuwa kawaida kila mwisho wa Mwezi? Natamani sana kusikia kauli yake kuhusu hali halisi ya nchi kwa sasa kwani nimesoma hapa kwamba alishafanya kikao na Baraza la Mawaziri na kisha kukutana na Baraza la Usalama wa Taifa!

na baraza la usalama wa taifa walikutana kabla ya Dr. Ulimboka kupelekwa msitu wa pande. Nadhani kikao chao kiliazimia Ulimboka kupelekwa Tegeta.
 
Amehutubia familia yake nimekisia. Waliohudhuria ni Salma, Ridhiwan, Miraji, Rweyemam, PC Msangi na Pinda. Ntawapasha zaidi yaliyojili baadae.
 
katika hali ya sitofahamu tulitegemea mh atazungumza habar ya ulimboka ila alichofanya ni kuzuga je kwel ni ungwana?
 
hii ni hatar kwa mh kuona hal halis ya nch then yeye kukaa kimya hii inaonekana kwel serikal imeshiriki
 
Back
Top Bottom