HOTUBA za Bajeti Mbadala na Hali ya Uchumi nchini kutoka Kambi ya Upinzani Bungeni

Wasomi mliobobea hamna uwezo wa kutumia elimu yenu kujiongezea mapato zaidi ya kutegemea nyongeza kwenye salary slip?
Hajasema mshahara hauwatoshi, issue hapa ni kuwa wanadai kwa muda mrefu na hawajalipwa na kumbuka wanaelekea mwaka mwingine wa fedha maana yake upo uwezekano wakutopew ama kulipwa
 
Hii budget imeandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu sana CCM kuandaa budget nzuri hivi inaweza ikawachukua si chini ya miaka mitatu kwi! kwi! kwi! kwi! kwi! ha! ha!
 
Hajasema mshahara hauwatoshi, issue hapa ni kuwa wanadai kwa muda mrefu na hawajalipwa na kumbuka wanaelekea mwaka mwingine wa fedha maana yake upo uwezekano wakutopew ama kulipwa

Ndugu yangu ng'wabuki makato ya chama chenu cha wafanyakazi huwa yanapelekwa kwa Mh. Zitto? Vile vile ninavyofahamu katika Wabunge wa viti maalumu kuna anayewakilisha Vyuo vikuu.....Asha Migiro alikuwa mmojawapo mmemwendea huyo?
 
Bajeti mbadala ni nzuri na imeonyesha taswira halisui ya serikali ijayo ya chadema .Ni bajeti ambayo ni visionary na yenye kuleta umoja kama taifa

Ianshangaza waziri wa fedha anatatua suala la inflation kwa kukujikita kwenye fiscal and monetary measures.Hili ni tatizo la kimuundo na kimfumo(systematic and structural).huwezi kupuuza sekta ya nishati halafu ukajidai unataka kupambana na mfumuko wa bei

Suala la Ajira kwa vijana ni taitizo ambalo kila mwanasiasa anaonyesha ubingwa wa kutamka "bomu linalokaribia kulipuka".They sucks!

Msamaha wa Sh.trilioni 1.7 unaweza kutumika kutengeneza ajira nyingi kama viwanda vidogo vidogo itatumika.Tuanzishe labour intensive technology industries.bila viwanda vya ndani shilingi itashuka thamani bado,wakulima hawatapata bei nzuri ya mazao,suala la ajira litaendelea kuwa tatizo

Tatizo letu ni kubwa kuliko tunavyofikiri.Purchasing power ya watanzania ni ndogo sana hata katika soko la jumuiya ya A.Mashariki.Kila siku tunaongeza misamiati mibaya kwa vijana wasio na ajira mara deiwaka,mateja n.k. Ni viajan kuungana kwa vitendo kulinusurui taifa sasa
 
Nimependa Idea ya Mh.Zitto ya kutumia Zero budgeting system amabayo inatumia na nchi nyingi wahisani.Wameipanga vizuri kinyume na budget ya Serikali.Haingii akilini ukope halafu ulipe posho.Tuwe wazalendo kizuri tukichukue na kibaya tukiache.Kwa bajeti ya Upinzani nawapa pongezi ni nzuri.Ni afadhali kutumia pesa nyingi kwenye maendeleo sababu mwisho wa siku utakuwa nauwezo mkubwa wa kulipa madeni ya kujitakia ambayo mengi yameingia kujenga familia za watu wachache wenye uwezo.
 
Hii ndio budget au ndio kuandika tu. Acheni bwana umbea. Hii kitu haijakaa vizuri kabisa nimeipitia hatua kwa hatua ni uongo na kuwahadaa wananchi. Kunavipengere vipo vizuri na kwenye hotuba ya serikali pia.

Acheni kuongea vitu ambavyo havitekelezeki. Nikama mtu mwenye uwezo wa kupata sh. 100,000 kwa mwezi anaweka budget ya kujenga nyumba yenye thamani ya sh. 100000000 kwa mwaka na anadai kuwa hataki kukopa ni ujinga.

Someni kwa makini acheni ushabiki.
 
Tolea mfano kwenye bajet siyo kutuletea mifano yako ya kujenga hapa
 
hii kauli ni ya kuzingatia kwa umakini..... wapiga kura msifanye tena makosa 2015

"Ni dhahiri kwamba Mwaka wa Fedha uliopita ulikuwa mwaka mgumu sana kwa Watanzania. Ni mwaka ambao gharama za maisha zilipanda kwa kasi kubwa sana na juhudi za Serikali kuwakwamua wananchi na hasa wananchi wanyonge kutoka kwenye lindi la ufukara ziligonga mwamba. Kambi ya Upinzani inawapa pole Watanzania kwani hili ndilo walilochagua. Muhimu ni kuvumilia mpaka uchaguzi ujao na kufanya mabadiliko ya Serikali ili kuweka Serikali itakayoongozwa na CHADEMA na itakayoweza kukabili changamoto za sasa na za baadaye. "
 
Tolea mfano kwenye bajet siyo kutuletea mifano yako ya kujenga hapa

SURA YA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2012/2013.
MAPATO
%
SHILINGI MILIONI
AMapato ya ndani
57.63
8,714,671
i)mapato ya kodi (TRA)
8,070,088
ii)Mapato yasiyo ya kodi
644,583

Unapoweka budget lazima uitolee ufafanuzi.

Pesa hizo zitapatikana vipi?. Unaongeza asilimia kwenye madini je mikataba iliyopo utaitoaje?
Acheni ufuasi usiokuwa na tija ni lazima tuwe makini. Hizo pointi za juu juu tu hazina maslahi kwa wananchi bali ni kwa watu wachache wanaotaka uongozi. hebu ipitie tena taratibu uone. Halafu isome usiwe na ushabiki.
 
Pesa hizo zitapatikana vipi?. Unaongeza asilimia kwenye madini je mikataba iliyopo utaitoaje?
kutokuwa na uwezo kwenye chama chenu na serikali yenu ndio imetuingiza kwenye hii mikataba ya ajabu ajabu ya kwenye madini ambayo mnashindwa kutoka sasa unapeleka lawama kwa CDM wakati ndio eneo zuri la kupata kodi pambaf
 
Mkuu sasa unaponitukana unamaanisha nini? mimi nimekutukana? acha hizo fujo. Sikiliza sasa nikuelekeze.

Mkataba wa DIAMOND MINE Mwadui ulishafungwa zamani sana kabla hata ya CCM ni mkataba wa miaka 100. Je hii tulaumu CCM?
Sasa hapa unalo la kusema. Acha kutukana wewe unajishushia heshima na heshima ya chama chako kumbuka ni watu wengi wanasoma mtandao huu itaonekana ni CHADEMA ni chama cha wenye matusi. Tumia akili wewe sawa?
 
Mkuu inamaana upo mgodi mmoja bac huo wa diamond mine kwi! Kwi! Kwi! Ccm bana mijambazi kabisa Ngoja niondoke ninaweza nikala ban
 
Back
Top Bottom