Hotuba ya Zitto Kabwe Ujerumani

wakimteua kijana kama masha akiboronga wao ndio wanamtolea mfano na kusema angalia "amesoma marekani yule na ni kijana". haya maneno nimeyasikia kwa mtu mmoja ambaye yuko juu sana kwenye system ya TZ akiwa anawakandamiza vijana masha + ngeleja ndio mifano yao

Huyo Masha amesomea kitu gani Marekani?
 
Practice makes perfect! Umesoma uchumi halafu unafanya siasa lazima usahau uchumi, especially kama sio mtu wa kujisomea.Same as other profession!!
Zitto kwa mtazamo wake na kama atajua na kuimplement toka mapema vision kama za hotuba aliyotoa, displine, passion na kuona yale anayoyafikiri anayapigania mpaka yanasimama na moral authority kwa kuonyesha kwa vitendo kutofanya mambo ya kifisadi na yanayotishia umoja na usalama wa taifa letu, naamini atafika mbali. Lakini hilo halitatimia mpaka afaulu test of time
 
Kibanda huyu ndiye unayesema Mwanasiasa Mchanga au KIJANA HUYU.kama anaweza kufanya haya vipi ashindwe uenyekiti wa chama kama Chadema?
 
The speech is presidential, coming from Bluray, the sometimes vehement critic of all things under the sun-and in some instances over the sun, including the entire concept of under and over itself- that is no small compliment.

In the midst of the John Kombas and Emmanuel Nchimbis of Tanzania, this is sooo refreshing.
 
Last edited:
Kwa kweli nimeipitia hii hotuba fupi ni nzuri na kwa kijana wetu Zitto, nampa pongezi. Hongera Zitto Zuberi Kabwe, kwa nini usingekuwa rais????
 
The speech is presidential, coming from Bluray, the sometimes vehement critic of all things under the sun-and in some instances over the sun, including the entire concept of under and over itself- that is no small compliment.

In the midst of the John Kombas and Emmanuel Nchimbis of Tanzania, this is sooo refreshing.

Thanks Bluray,

Hii ndio maana naipenda JF. Kuna vitu vinaandikwa hapa vinapendeza sana kusoma. Mwelekeo wa maandishi (sio maandiko yenyewe over and under - self) yako huwa nayafananisha na members wawili wa mtandao maarufu sana marekani - Dailykos - waitwao Droogie na Jeff Lieber.

Yaani sio siku zote mambo yafuate mtiririko (an enzymying stream) ufacho wa kawaida. Katika hili, nakubaliana nawe kuwa hii ni presidential (bar all unpredicting predictables).
 
The speech is presidential, coming from Bluray, the sometimes vehement critic of all things under the sun-and in some instances over the sun, including the entire concept of under and over itself- that is no small compliment.

In the midst of the John Kombas and Emmanuel Nchimbis of Tanzania, this is sooo refreshing.
.... kama swala ni usomi,uzoefu basi sidhani kama tutakaa tupate another 'states man' kama BWM wa kuiongoza Tanzania,alikuwa na sifa tosha za uongozi.....sihitaji kusema alipotuacha!!
...Tanzania kwa kuanzia inahitaji kiongozi mzalendo/ a radical figure who would clear the mess in place...not a 'kiss ass' figure...if only Lyatonga could defy nature.
 
Mbona katuacha poa tu, alipotuacha kila mtu atachomoka kivyake mkuu
 
.... kama swala ni usomi,uzoefu basi sidhani kama tutakaa tupate another 'states man' kama BWM wa kuiongoza Tanzania,alikuwa na sifa tosha za uongozi.....sihitaji kusema alipotuacha!!
...Tanzania kwa kuanzia inahitaji kiongozi mzalendo/ a radical figure who would clear the mess in place...not a 'kiss ass' figure...if only Lyatonga could defy nature.

Suala si usomi "tu", ila ni msingi mzuri. Kikwete hana usomi kwa hiyo kunamaswala hata hatuwezi kushangaa anavyochemsha.BWM alikuwa na usomi, ila tatizo alikuwa arrogant.Kwa hiyo utaona usomi bila humility ya kiuongozi unaweza kuwa mbaya kuliko lack of usomi, actually unaweza kuleta a Frankestein government itakayo experiment with utopia kama Mkapa na Mbeki, hatutaki hilo.

Yaani sasa kuna watu wanaanza kumpongeza Jacob Zuma ambaye alikuwa hailed kuwa buffoon atakayeiaibisha Africa kwa hatua nzuri alizochukua kupambana na ukimwi Africa Kusini na kumsema Thabo Mbeki, yule msomi aliyeitwa kiongozi wa "The African Renaissance" lakini aliyekataa kuwepo kwa uhusiano kati ya HIV na AIDS. Kwa hiyo hili swala la uongozi ni zaidi ya usomi mtupu.

Soma Editorial ya leo NYT "Hope in South Africa"

http://www.nytimes.com/2009/08/31/opinion/31mon3.html

Yaani wewe unaona katika viongozi Lyatonga nae kiongozi?
 
Last edited:
Back
Top Bottom