Hotuba ya Zitto Kabwe Bungeni Juni 15, 2011 - Bajeti Mbadala

Asante zitto wewe tayari ni mtetezi wa wanyonge watake wasitake lazima posho zifute.

Jitihada sasa ni kuuhadaa Umma kuwa hoja imeporwa katika kamati za Bunge ambapo hilo lilijadiliwa na wanamagamba, walikuwa wapi kutoa tamko na kama ni kweli mbona kigugumizi kilikuwa kingi.

CDM kanyaga mwendo tunataka mabadiliko nchi hii
 
Hii bajeti ni ya kizalendo na ndio yenye nia ya kumkomboa mwananchi. Hongera sana Mh Zitto, kwa kuongezea tungeliomba uwaambie wafanye uchunguzi zaidi uhusiano wa stimulus package na hela za mikopo serikali inakopa. Pia tunaomba wawajulisha wananchi hizo hela zimetumikaje ili kufahamu je madeni hayo na stimulus package yametumika katika shughuli za maendeleo au kusaidia kuendesha serikali.
 
This budget is full of creativity and patriotism. Mkuloo na WanaCCM weenye uvivu wa kufikiri wajifunze hapo. I like it please read
 
Back
Top Bottom