Hotuba ya waziri mkuu wa israel benjamin netanyahu huko un.

Huyo netanyahu na catoon bomb yake wamekuwa kituko kwenye websites mbalimbali.na wanamchora hasa
 
mimi uwa najiuliza swali. Hivi kama nuclear bomb hairuhusiwi kutumia sasa uwa yanatengenezwa kwanini. Inakuaje watu wa invest pesa na muda mwingi kutengeneza hizi zana huku wakidai hayatatumiwa?
Hii ni danganya toto
 
Back
Top Bottom