jamani,wakazi wa mwanza waliambiwa waache kulewa viroba,anamanisha kuwa ni walevi sana? na pia aliwataka warud kijijini wakalime ,sasa watalimaje wakati mvua hazijaanza?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.