Hotuba ya viongozi wa CHADEMA huko Arusha

CHADEMA ni nuru ya Taifa hakika ukombozi wa ukweli umefika Tanzania,VIVA CHADEMA.
 
CHADEMA ni nuru ya Taifa hakika ukombozi wa ukweli umefika Tanzania,VIVA CHADEMA.

Pamoja na hayo bado wanazo changamoto za kumalizia kama la Mh. Shibuda kuchukuliwa hatua au atubu na ieleweke ametubu.
 
<font color="#222222">Kwa kweli hii imekaa vizuri hongera. Ninaona watu wa magamba wanavyojikanyaga hapa, wanahangaika kuitafutia hoja ya kuipinga lakini wameshindwa. Wananchi walikuwa na hamu ya kusikia huu mfano wa madiwani ili kujua ya kuwa hata mbunge akienda kinyume na sheria inabidi awajibike. Chadema wapewe nchi hata kesho tutawaona waliouza na waliokula mashirika yetu mpaka watanzania tumekuwa kama mayatima.</font>
<br />
<br />
Mkuu uyatima ushaonekana tangia Baba wa taifa kututoka na sasa mambo yanavyokwenda ndio inathibitika
 
Magamba wameumiza kichwa wamekosa cha kufanya wanaona wakataze maandamano ila huu ndio mwisho wao
 
Ni lazima kila jambo lifanyiwe upembuzi/udadisi tokea mwanzo hadi pale lilipo au linapoishia. kukurupuka mtu leo na kuanza kuwalaumu chadema huku wakiacha kurejea historia ya suala zima toka mwanzo. ndio tuseme imeshasahaulika kua ni CCM waliokiuka kanunui za uchaguzi na kuleta diwani wa viti maalumu pandikizi toka Tanga? tumesahau wananchi walivyouwawa na polisi kufuatia maelekezo ya magamba? na tumesahau kua katika halmashauri ambazo CCM walishinda kwa idadi kubwa ya madiwani hakuna power sharing ila hiyo inaonekama kuhitajika pale waliposhinda Chadema? tumesahau kua ni madiwani wa chadema waliozulilwa pamoja na mmbunge wao kuhunduria kikao cha uchaguzi wa meya? tunataka kudanganywa leo kua chanzo cha mgogoro sio CCM na kutaka kusingizia chadema? ndio tuseme sisi ni punguani kiasi kwamba hatukumbuki tu watu wazima lakini kuna siku tulikua watoto wachanga? historia kwetu ni upuuzi usio na fundisho kwa hali ya leo na kesho????
 
Back
Top Bottom