zaleo
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,902
- 764
wabunge wote wapo against chadema!
Una maana gani, yaani hata Tundu Lisu yuko against Chadema?
wabunge wote wapo against chadema!
Hawana pesa waleeee wanatumia pesa ya bara mkuu!!Muungano gani tena? tangu wazanzibari walivyojinyakulia mamlaka na uhuru kamili, wakawa na wimbo wao wa taifa, bendera, katiba ya nchi yao isiyotambua muungano, amiri jeshi wao (ambaye sasa anapigiwa mizinga 21 kila aendapo nje ya nchi), na hata sasa wana mamlaka kamili ya mahusiano nje ya nchi, Muungano ulikufa, labda kubwa la leo ni mazishi.
"MUNGU IBARIKI TANGANYIKA, MUNGU IBARIKI ZANZIBARI, RIP TANZANIA"
Ndo maana nasema amejicontradict. When defining, what is being defined should not be included in the definition!!!!!!!Anasema wote wapo against CDM, so its obvious wa CDM hawezi kuwa against, unless ni Mh. wa Maswa aliyekuwa anatafuta platform ya kupandia
Nategemea leo kwenye bajeti ya muungano mhe. lissu ataendelea kuwachana mawhite wale wadau wanaoutetea muungano wenye faida upande mmoja.
kwa kweli hali halisi ndivyo ilivyo lakini nadhani wazanzibar na watanganyika walishakubaliana kuwa na aina pekee ya muungano na si kwa vigezo vya kimataifa isemavyo.hivyo kama hakuna mivutano yenye kuvunja amani ni bora tukaboresha ili kufukia mashima yanayokwamisha maendeleo.HAYO YOTE NI SIASA NA UONGOZI MBOVU WA SERIKALI KUSHINDWA KUKUZA UCHUMI NA TANZANIA BARA .UCHUMI UNGEKUWA NA NGUVU SIASA UPUNGUA MAKALI SASA WOTE WAKO BIZE KUTENGENEZA MASHAIRI YA ZANZIBAR NA MAFUTA YASIYOPATIKANA.OKEY ACHA CCM IVUNE ILICHOPANDA NA WATWGEMEE MIVUTANO MINGI ZAIDI .........