Sigma
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 5,006
- 1,254
Hotuba iko JF kitambo ngoja nikupe linkanasemaje kuhusu madaktari? Ye ndo kawatuma?
Hotuba iko JF kitambo ngoja nikupe linkanasemaje kuhusu madaktari? Ye ndo kawatuma?
Isome hotuba yake pia hapa Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012anasemaje kuhusu madaktari? Ye ndo kawatuma?
Ichukulie hivo hivo ndo serikali ya ccmHili neno 'live' nadhani siijui maana yake!
anasemaje kuhusu madaktari? Ye ndo kawatuma?
Ndo njia pekee ya kuwashitaki madaktari kwenye jamiiAnasema madaktari wamekataa kila ki2.
Bila aibu anairudiaIleile iliyoko humu
mlioko na access ya TV tujuzeni kama ni hii iliyoko jamvini na facebook tangu mchana