Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,726
Mtajuaje, labda alipanga mabomu yalipuke tarehe 17 lakini yakalipuka 16, na waandaaji wa hotuba wakasahau kubadili?!
Ina maana huwa anaenda Studio kurekodi speech au anaongea na wananchi "LIVE"?
Na wao wako upande wetu wamemchoka, wanajuta kwa nini walimsaidia mtu asiyejiweza kuongoza nchi.Wanaona bora aharibikiwe
Sasa hii nchi vipi waziri mkuu anasema uongo mara 10 bungeni raisi wake anadanganya taifa kupitia televisheni na redio kweli hawa wanafaa kutoongoza?