Hotuba ya Rais kwa taifa kupitia wazee inarudiwa TV tumaini

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Kwa wale ambao hawakupata nafasi ya kumsikiliza Rais jana waangalie marudio ya hotuba yake inaendelea sasa hivi Tv Tumaini. Baada ya kuangalia na kumsikiliza kwa watakao muelewa walete hoja na ambao hawatamuelewa ni bora wanyamaze japo haki ya kuchangia humu ni ya kila mtu.
 
rais kwa familia yenu! Mods! Naomba msaada wako twafwadhali! Futa hii thread! Kwn inanichefua roho kbs!
 
Inarudiwa pia TBC,kwa wale washabiki wake waangalie!!!!!kwangu mimi ni kinyaa tupu:A S embarassed:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom