Hotuba ya rais Kikwete mwisho wa mwezi Machi

r u serious? Hv kwn hujui Jk anaongeaga nn ck zte? Ndg wananch nmecktshwa sana na baadh ya wafanyabiashara kukwpa kulpa kodi! Hakikshen hta mkienda sokon kununua nyanya mnadai receipt cz ni haki yenu! Nmeamua kula muzik wa injil, nkckilza ho2ba sukar inashuka na naul ya kwnda kwa babu THINA!
anaongelea nini? naomba update, sipo karibu na TV!
 
Amewaagiza Tanesco wakodi mitambo ya umeme wa dharula kwa halaka zaidi.hapo ndo nmeshituka.
 
anasema tuombe Mungu mvua zinyeshe bwawa la mtera lijae kwani mgao unaendelea.
 
itv hutuba imeisha lakini tbc inaendelea.kumbe huyu jamaa hayupo live.duh!
 
Je kajusia katiba na jinsi gani atakavyo tuchagulia watu wa kuunda katiba na kuwapa masharti ya nini cha kufanya na kuweka kwenye katiba mpya? au ndo sijuhi kama kawaida yake?
 
naona ana-summarize maagizo aliyoyatoa kwenye ziara zake katika wizara mbalimbali.

Sasa sijui anafikiri tumesahau aliyoyaagiza, au hakuwa na la kusema leo. Mimi sijui naona hata yeye hajui. Maana jamaa ni bingwa wa kutojua,

kwa nini sisi masikini hajui
kwa nini nchi yetu ina malighafi nyingi lakini haina viwanda hajui,
kwa nini form four wamefeli sana, hajui,
kwa nini bei ya bidhaa inapanda hajui,
kwa nini bei ya mafuta inazidi kupaa hajui,
kwa nini thamani ya shilingi inashuka, hajui.
Kwa nini ufisadi umetamalaki, hajui

angejua angetafuta solutions, huyu uchumi alidesa.

jk always nothing serious ataongea. Nimeusoma muswada wa mabadiliko ya katiba ni kimeo. Chadema uchapisheni kwa wingi watznian wausome.
 
Back
Top Bottom