Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,196
Hotuba nzuri sana, amejitahidi kuelezea juu ya uraia wa nchi mbili kitu ambacho kimekuwa kikisumbua sana wananchi. Nadhani baada ya hii hotuba watu watakuwa wameshapata majibu ya matatizo yao mbalimbali.
fikra masaburi! Wewe uraia wa nchi mbili ndicho kipaumbele chako cha kwanza mengine baadae..hazikutosh.