Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,940
- 6,855
Kwa wazanzibari na sio kwa wazanzibara
Kwa vile hakuna wahindi au mafisadi papa Zanzibar? Hao wakina Raza, Yasmin Aloo n.k. ni wazanzibara? Au mnataka kuwafanyia kama mnavyowafanyia wangazija! Ni hii sumu ya ubaguzi ndiyo inawarudisha nyuma na si machogo kama mnavyodai.
Amandla......