Hotuba ya rais june 2011

Technology

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
769
284
Mheshimiwa Rais: Hatujakusikia kwa muda sasa kutoa hotuba ya mwisho wa mwezi! na bila shaka wasaidizi wako wanaanda hotuba sasa kwajili ya June 2011 naomba uzingatie yafuatayo

1. Suala zima la posho kwa wabunge na kada zingine serikalini
2. Displine ya matumizi serikalini ( Hivi Mtu Kama Kamanda Kova amepewa Land cruiser V8 VX 280 Million, ya nini? ) na wengine wengi. Hivi Kova asingeweza kutumia RAV4 new model????
3. Maamuzi muhimu na magumu kwa manufaa yetu ( Refer EL in the parlianment)
4.Benefits wanazopewa seniour oficers jeshini, police, etc weekly, daily, and monthly INAUMA MZEE
5.
6.
 
5. Mr. President, Could you please include very carefully and seriously the curent electricity status in the country... all those below you have proved failure to tell the truth. I am confident linakusumbua saaana wewe binafsi pia
 
Tokea jan makamba aondoke hana wakumwandikia hotuba maskini msameheni!
 
Barabara ya Serengeti imefutwa na mama Clinton hatolisemea, azungumzie pia na swala la change ya rada
 
Mkuu technology
Hiyo # 2 ni kujenga matabaka ili jamaa asiwakumbuke/tetee kimaslahi wa chini yake,tabia ya kikolioni
 
Pia usisahau, mh rais kuusu zile siku 90, ulizo wapa wala jamaa wajiondoe wenyewe kwenye chama, maana zinaisha soon.
 
Asiache kabisa kuongelea Mauaji ya Tarime ni muhimu sana na pia juu ya Mokiwa na Amri ya Mahakama .Maana kama hakimu alisema Mbowe akakamatwana kutumia 50mn leo kasema Jaji inakuwaaje Mokiwa anadunda mtaani ?
 
5. Mr. President, Could you please include very carefully and seriously the curent electricity status in the country... all those below you have proved failure to tell the truth. I am confident linakusumbua saaana wewe binafsi pia

Hapo kwenye RED umempa mtihani mgumu sana president wako maana hajawahi kuwa serious.
 
Swala zima la umeme, iweje wananchi wenye nchi yao waishi kama sio nchi yao??muda wote muna wakatia umeme, alafu bado mnapeana posho, hizo hela za posho kwa nini msifanyie mambo ya muhimu kama kusolve hii problem ya umeme??Inatia huruma sana
 
pia lete ripot unamjua mwenye dowans au bado nhumjui , mana ameshauza na kama humjui basi muulize h.clinton atakuwa anamjua mana mitambo iliyomtoa pacha wako wamenununua wao , huko kwao na utujulishe kwenye hotuba yako mkuu wa kaya. asante pppzzzzzzz.............
 
Kweli hii nchi in matatizo makubwa ni afadhali tupate katiba mpya maana kama raisi anahusishwa moja kwa moja na hoja hizi basi tuna hali mbaya sijuwi watu wengine kama waziri mkuu, makamu wa raisi, mawaziri, wakuu wa mikoa, makatibu wa wizara wanafanya nini?. Kumbe ndiyo maana tulimgeuza nyerere kuwa mungu mtu, na yeye kwa kutokuwa mwelevu akakubali tu na kusababisha nchi kuwa masikini wa kutupwa.
 
10.Unaonaje ukitoa maamuzi magumu ya kukifunga chuo cha UDOM miaka 10 maana ulikurupuka kukifungua wakati huna hela za kuwapeleka field wnfnz mh! kazi kwelikweli
 
What is posho? Nina hakika Rais hawezi kubabaika na hoja ya kijinga ya posho hivi mleta mada hajui kama posho no vijisenti? Kama kweli hao chadema wana uchungu na sie kwanini wasipinge pesa za kiinua mgongo wakimaliza term ya miaka mitano? Kuna wastaafu hawajapata haki zao baada ya kutumikia serikali miaka 40 na zaidi lakini wao wanachokipata ni mara tano ya wanaotumiukia miaka 40. Ila kwa kuwa kiinua mgongo wanajua ni donge nono hawatathubutu kiguswe watabakia kujitoa kimasomaso na pesa mbuzi za vikao.
 
"Ila kwa kuwa kiinua mgongo wanajua ni donge nono hawatathubutu kiguswe watabakia kujitoa kimasomaso na pesa mbuzi za vikao. " Sokomoko.
Sasa utataka wadai na mishahara ipigwe marufuku. Posho za ma.ta.ko iwe ni pesa mbuzi au pesa ng'ombe ni wizi wa mchana kweupe! Hiyo ndio hoja! Je mwalimu anapewa hiyo pesa mbuzi kwa kuingia darasani au kukaa katika staff-room? Kama ni 'pesa mbuzi' mbona wamagamba pamoja na ufisadi wao bado wamezing'ang'ania!!! Hiyo 'pesa mbuzi' inaweza kumtoa mtoto wa shule ya msingi kuandikia sakafuni, akaandikia dawatini.
tanzania miaka 50 ya uhuru 2011.jpg
 
What is posho? Nina hakika Rais hawezi kubabaika na hoja ya kijinga ya posho hivi mleta mada hajui kama posho no vijisenti? Kama kweli hao chadema wana uchungu na sie kwanini wasipinge pesa za kiinua mgongo wakimaliza term ya miaka mitano? Kuna wastaafu hawajapata haki zao baada ya kutumikia serikali miaka 40 na zaidi lakini wao wanachokipata ni mara tano ya wanaotumiukia miaka 40. Ila kwa kuwa kiinua mgongo wanajua ni donge nono hawatathubutu kiguswe watabakia kujitoa kimasomaso na pesa mbuzi za vikao.

Sokomoko keshalewa!!
 
"Ila kwa kuwa kiinua mgongo wanajua ni donge nono hawatathubutu kiguswe watabakia kujitoa kimasomaso na pesa mbuzi za vikao. " Sokomoko.Sasa utataka wadai na mishahara ipigwe marufuku. Posho za ma.ta.ko iwe ni pesa mbuzi au pesa ng'ombe ni wizi wa mchana kweupe! Hiyo ndio hoja! Je mwalimu anapewa hiyo pesa mbuzi kwa kuingia darasani au kukaa katika staff-room? Kama ni 'pesa mbuzi' mbona wamagamba pamoja na ufisadi wao bado wamezing'ang'ania!!! Hiyo 'pesa mbuzi' inaweza kumtoa mtoto wa shule ya msingi kuandikia sakafuni, akaandikia dawatini.View attachment 32772
Acha ujuha wewe huyo mwalimu akistaafu baada ya kula vumbi la chaki analipwa kiinua mgongo shilingi ngapi? Na mbunge akimaliza miaka mitano analipwa ngapi? Kwanini kina zitto wasipokee sawa na waalimu au robo ya waalimu maana wanatumikia miaka mitano mitano na kila kipindi kikiisha wanakula pesa ndefu na wakichaguliwa wanapewa pesa za kununua mashangingi? Wakati mwalimu wako uliemsema hata baskeli hana!c
 
Lol , kumbe wapo wanaojua rais ndio mkuu wa mkoa wa mwanza so aisemee barabara ya .... , waziri wa mambo ya nje so atueleze kuhusu chenji ya rada , rais ni waziri wa elimu+ mkurugenzi wa tcu hivyo aongeleee migomo/field etc , rais ni waziri wa nishati , waziri wa viwanda etc ! Kama ni hivi 2015 inabidi rais awe nape cos anaweza kuwa mkuu wa wilaya, hakimu , bondia wa ccm , msemaji mkuu wa chama na taifa kwa ujumla , waziri wa viwanda , mkurugenzi wa takukuru , comedian at a time
 
Back
Top Bottom