Hotuba ya Rais JK Mwisho wa Mwezi 31/12/2010

Status
Not open for further replies.
Mbona mnaingilia na kuivamia kazi ya Sheikh wangu Yahaya, au kawaambia amestaafu?
 
Uchaguzi umeisha october 31,Jakaya Kikwete ndo rais wetu.malumbano yaishe.sitogeuzwa mbuzi wa kafara na watu wabinafi kwa maslahi yao ya kisiasa.Asante kwa ushauri Mh.Rais.
 
Kesho ni kesho(31.12.2010) msema kweli ni mwongo Jk kutoa HOTUBa ya funga mwaka
hutoba inaweza kuokoa na kurudisha imani za watanzania.

1. Jk atakuja na majibu ya dowanss kuwa serikali haitalipa hiyo hela
2. kuanzisha mchakato a katiba mpya tume kuchagulia
3.
4.
5.


wanaJF ongezea kesho(31.12.2010) JK kuibuka shujaa na mwokozi:target::target:


Kazi ndo imeenza wengi walinibeza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom