Hotuba ya Nape yaliza watu mkutanoni, Mbunge wa CUF na wafuasi wake wamshangilia

Sina uhakika kama anaamini kile anachoeleza au ni kwa sababu anatetea tumbo lake, atafanya lolote!!
 
Nipe Tano na Lumumba son wamejiunga siku moja wana posti moja moja hii inaionyesha ule wito wa viongozi wa CCM kwa vijana wa ccm kujiunga na mitandao ya kijamii imegonga mwamba sasa imepelekea Nape MWENYEWE KUWA NA ID nyingi kul;eta hata utumbo.
 
Kwa wale ambao hawakuwepo kwenye mkutano wanaweza kusema huyo mama alichukuliwa. Lakini kwa sisi tuliokuwa pale tuliona wengi tu wakisisimkwa na hotuba ya CCM mpya na jinsi inavyorudi kwenye maadili yake ya asili. Viva CCM vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Aluta continuaaaa!

Angalau wewe umejua kuwa CCM imeshaondoka katika maadili yake ya asili na sasa inajaribu kurudi na wengine mkijilazimisha kuona imerudi lakini hata bila ya kutafakari ya kuwa wakati ilipoondoka iliacha madhara gani kwa wananchi na inastahili adhabu gani
 
Kwa wale ambao hawakuwepo kwenye mkutano wanaweza kusema huyo mama alichukuliwa. Lakini kwa sisi tuliokuwa pale tuliona wengi tu wakisisimkwa na hotuba ya CCM mpya na jinsi inavyorudi kwenye maadili yake ya asili. Viva CCM vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Aluta continuaaaa!

bolded and red colored=how inavyorudi kwenye maadili yake ya asili?? how? how? i am materialist i need tangible examples!! Hapa ndio CCM mnapochemka.....blah blah saaaaana!! kila siku tuta----, tuta-----, tuta-----!!! blood fool show us what you have done!!! nani kasema TANU ilikuwa inabembeleza mafisadi, wala rushwa, wauza unga eti wajirekebishe wenyewe au wajitoe chamani???
 
Ukweli uko palepale huyo mama alia baada ya kuona Nape hasemi hatima ya CHAMA baada TAR 10 . 07 . 2011 na maelezo ya wazi kama barua ameandika au la. Mama analia mno kwani matarajio yake kuona CCM KUJIVUA GAMBA ni kiini macho anakipenda sana chama lakini mmmh!!!!!! inabidi alie tuuu bado kidogo NAYE atahamia CUF
 
Aminia kamanda Nape na timu yenu ya sekretarieti. Hakika mnatupatia raha sana wana CCM, endeleeni kuwatetea wanyonge wa kusini na walanguzi wa ufuta na korosho.

Ikiwa wana CCM wanapata raha sana pale walanguzi wa ufuta na korosho wanapotetewa, je kunahitaji msomi wa chuo kikuu kujua kwa nini walsiopenda ulanguzi na rushwa wanapoendelea kupata karaha sana kila CCM inapotajwa?
 
Back
Top Bottom