Hotuba ya msemaji wa Upinzani Nishati na Madini-John Mnyika

Hawa watawala kwa nini wanashindwa kuchukua mawazo matamu kama haya na kuyafanyia kazi? Au na kwenye siasa kuna copy right?
 
Hawajaanza kuzomea hao jamaa zetu? Hotuba kama hii kama wamezomea basi ni kuwakamata kwa nguvu na kuwapeleka Mirembe for check up
 
Duh huyu dogo angekuwa waziri wa nishati nadhani kwa miaka mitano ijayo tungekuwa mbaaliii kuliko ngeleja porojo tupu ubabbaishaji ubazazi mtp
 
Ipo pouwa sana, sasa bunge limekataa kupitisha swala la umeme kama janga la kitaifa, hebu mnaofahamu swala hili tupeni mwongozo! UMEME NI JANGA LA KITAIFA.
 
Hii ni hotuba makini kuliko hata ya Ngereja,ambayo inamipango mingi isiyoisha huku watanzania tukiambulia giza
 
Nimeshangaa supika wetu anadai kuwa ile siyo hoja wallah hata mtoto wa vidudu anaweza kuchanganua kuwa mnyika katoa hoja za maana na alichoongea ngeleja ni upupu kweli magamba kuna vioja!!
 
Hongera sana mnyika japo naibu spika kasema hoja imejichakachua usife moyo bajeti yenu nzuri mnaitakia nchi yetu mema
 
Back
Top Bottom