HOTUBA ya Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani - Wizara ya Nishati na Madini 2012

Mninya ni jembe!

Kwa hiyo sasa nimegundua kwa mhando alikuwa ana tetewa na zitto(mnafiki) alaf leo hii umuite ni mpinzani wa ccm!
 
Eeeh Mungu wetu uliye hai, tunashukuru sana Watanzania kwa kutuletea chama makini CDM. Bila CDM huu uozo wote wa serikali ya CCM tungeufahamu vipi? CDM ni sawa na Mussa aliyewatoa wana wa Israel utumwani Misri. Eeh Mungu wetu tunakuomba ukiwekee MIKONO CDM kama vile ulivyomuwekea mtumishi wako Ayoub, ili CDM iweze kutufikisha kwenye nchi ya AHADI.

Eee Mungu pamoja na ufirauni wa Serikali ya CCM, lakini katika serikali ya CCM bado kuna watu WACHACHE waadilifu, wanaoitakia nchi hii mema. Tunakuomba umuwekee ulinzi Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na madini Eliakim Maswi kwa ujasiri aliofanya wa kupigania masilahi ya wananchi wa nchi hii. Tunaomba pia umuwekee MKONO Mh. Maswi mafisadi wasije wakamudhuru kama walivyo mudhuru Dr. Steven Ulimboka.

Pia kwa jina lako tunaomba wale wote wanaotetea UFISADI wa William Muhando na Mke wake Eva Muhando washindwe na WALEGEE kwa JINA lako AMEN.
 
Aaaaaaaaaaaaaah!! Vibaya hivyo. Huo sasa mzaha!!! Lazima Mpare? Makubwa! :spy:
 
Nyerere alisemaje?...Lakini woga unaweza kutokana na tamaa ya kila binadamu kupendwa nabinadamu wenzake. Sisi wote tunayo tamaa hii, au sivyo tusingekuwa binadamu. Woga huu huweza ukamfanya mtu kuvumilia maovu, hasa kama maovu yale yanatendwa na walio wengi kwa walio wachache, au yanatendwa na wakubwa kwa wadogo. Kwakuogopa kuwaudhi wengi tunawaacha watende makosa bila kuwasahihisha, wasije wakatuchukia. Huu ni ubinafsi mbaya sana”

Binafsi yangu nawaona wanasiasa wote kamba tu. Nilimtegemea Zitto akaniangusha sasa naona hata Mniyika na kambi nzima wameingia ktk kundi hilo hilo la woga. Kwa nini hamuwambii ukweli kwamba hatutaki kuendelea na umeme wa KUKODISHA?. Toa wazo - Upuuzi huu uishe leo na mikataba yote ifutwe by the end of this year..
 
Dah, sijaona njia mbadala za kuleta umeme hapa Tanzania zaidi ya kung'ang'ania kukodisha tu mitambo! Hamna kitu hapa zaidi ya lawama!
 
Dah, sijaona njia mbadala za kuleta umeme hapa Tanzania zaidi ya kung'ang'ania kukodisha tu mitambo! Hamna kitu hapa zaidi ya lawama!

Mkuu bomba kubwa la kusafirishia gesi kutoka mikoa ya kusini kuja DAR kuzalisha zaidi ya MW 3000 lilikuwa linahujumiwa na hawa wenye biashara ya mafuta mazito. Maswi na Muhongo wameshaidhinisha kazi hiyo na sasa makampuni matatu ya China yako kazini na kazi itakamilika ndani ya miezi 18 na tatizo la umeme kwisha habari yake. Hongera Maswi na Muhongo, chapeni kazi kwa manufaa ya waTz wote.
 
hapa ndipo zito anapoonekana kupoteza msimamo wake na vijana wengi kumgeuka. Aje amtetee tena na kamati yake. Zito kuna watu wameshamshikisha kitu kikubwa na kugeuka. Sasa hivi ameamua kuja kuimega cdm na wadini wengine wa ccm.

It will be interesting to get some facts about this . . . . Nimeshasikia tuhuma nyingi za huyu Mbunge wa Kigoma, lakini sikumbuki kuona evidences zozote zaidi ya hear say.

  • Kuna wanaosema kachukua mshiko IPTL
  • Kuna wanaosema anatumia vibaya ndege za TANAPA
  • Kuna wanaosema ni mtu wa JK
  • Kuna wanaosema kwa sasa ni corrupt na ana mihela
  • Kuna wanaosema ni mnafiki
  • Kuna wanaosema anaimega CHADEMA na anatumiwa na CCM
  • Kuna wanaosema Mdini nk

Nafahamu kuna ushahidi wa mazingira au kusikia. Je kuna mwenye ushahidi wa Kuona au maandishi?

Kama Zitto anahusishwa na tuhuma hizo nzito na ni kweli kuna ushahidi, then Zitto hafai kuwa Kiongozi kwa maana ya kujenga umoja.

Na kama ni kweli, he can borrow a chapter from Mandela . . . . to be a leader huitaji kutumia nguvu au hila. Leadership is about Influencing people in a positive and natural way. Ukiweza Kiongozi Mzuri people will pick you no matter who you are and where you are . . . . as I said Mandela is a good lesson. Wapo na wengine wengi . . . .

Waiting for facts . . . .
 
Nyerere alisemaje?...Lakini woga unaweza kutokana na tamaa ya kila binadamu kupendwa nabinadamu wenzake. Sisi wote tunayo tamaa hii, au sivyo tusingekuwa binadamu. Woga huu huweza ukamfanya mtu kuvumilia maovu, hasa kama maovu yale yanatendwa na walio wengi kwa walio wachache, au yanatendwa na wakubwa kwa wadogo. Kwakuogopa kuwaudhi wengi tunawaacha watende makosa bila kuwasahihisha, wasije wakatuchukia. Huu ni ubinafsi mbaya sana"

Binafsi yangu nawaona wanasiasa wote kamba tu. Nilimtegemea Zitto akaniangusha sasa naona hata Mniyika na kambi nzima wameingia ktk kundi hilo hilo la woga. Kwa nini hamuwambii ukweli kwamba hatutaki kuendelea na umeme wa KUKODISHA?. Toa wazo - Upuuzi huu uishe leo na mikataba yote ifutwe by the end of this year..

Interesting . . . .
 
Mkuu bomba kubwa la kusafirishia gesi kutoka mikoa ya kusini kuja DAR kuzalisha zaidi ya MW 3000 lilikuwa linahujumiwa na hawa wenye biashara ya mafuta mazito. Maswi na Muhongo wameshaidhinisha kazi hiyo na sasa makampuni matatu ya China yako kazini na kazi itakamilika ndani ya miezi 18 na tatizo la umeme kwisha habari yake. Hongera Maswi na Muhongo, chapeni kazi kwa manufaa ya waTz wote.
Unajenga bomba, hizo generators za kuzalisha hata 1000mw zimeshawekewa order au?.. Sii ndio kuvuta bomba la maji ktk nyumba ulopanga ukisema utajenga yako baadaye.. Mkuu wangu hilo bomba mnawavutia IPTL , Symbion na mashrika mengine mengi yalojipanga nyuma kusubiri.. Tanesco wanapewa fedha kulipa madeni yao walolimbikiza sio kununua mitambo ya kutosheleza umeme nchini.. Sana sana watakuwa na 200mw hivi za gas na bado watawahitaji IPTL na madeni kuongezeka..
 
Hongera sana Mh. John Mnyika. Hotuba yako imejaa, lot of facts na udadisi mwingi. Namna nzuri pia ya kuisimamia Serikali na kuibana.
Ajichunge tu na tamaa kwani hata ZITTO alikuwa hivi sasa keshaanunuliwa kirahisi mno....
 
Huyu william mhando angenyongwa hadharani iwe fundisho kwa hawa wezi wa taifa na wanaotusababishia maisha kuendelea kuwa magumu..
 
Thanks Mh. Mnyika, let us agree kuwa CDM wana vichwa, tukubali tukatae but ukweli ndiyo huo wakuu.
 
It will be interesting to get some facts about this . . . . Nimeshasikia tuhuma nyingi za huyu Mbunge wa Kigoma, lakini sikumbuki kuona evidences zozote zaidi ya hear say.

  • Kuna wanaosema kachukua mshiko IPTL
  • Kuna wanaosema anatumia vibaya ndege za TANAPA
  • Kuna wanaosema ni mtu wa JK
  • Kuna wanaosema kwa sasa ni corrupt na ana mihela
  • Kuna wanaosema ni mnafiki
  • Kuna wanaosema anaimega CHADEMA na anatumiwa na CCM
  • Kuna wanaosema Mdini nk

Nafahamu kuna ushahidi wa mazingira au kusikia. Je kuna mwenye ushahidi wa Kuona au maandishi?

Kama Zitto anahusishwa na tuhuma hizo nzito na ni kweli kuna ushahidi, then Zitto hafai kuwa Kiongozi kwa maana ya kujenga umoja.

Na kama ni kweli, he can borrow a chapter from Mandela . . . . to be a leader huitaji kutumia nguvu au hila. Leadership is about Influencing people in a positive and natural way. Ukiweza Kiongozi Mzuri people will pick you no matter who you are and where you are . . . . as I said Mandela is a good lesson. Wapo na wengine wengi . . . .

Waiting for facts . . . .

Bila kuona maandishi or so but hayo ni kweli tupu Superman, hujakosea hata kidogo. Mbona walishaandika mengi hapa na jinsi walivyomtunuku kwenda kula bata nje na watu wa TISS? CDM wana taarifa hiyo na wana deal naye kiume tu!!! Hana sifa tena ndani ya uongozi wa chama, ni mnafiki na ameshawauza. Mnyika sidhani kama anaweza kuwa kama mnafiki ZITTO maana ni dedicated sana. I tell you hana unafiki but pia let us pray for him asidanganyike.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom