Hotuba ya Mhe. Waziri Shamsi Vuai

Blessing

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
271
11
Tunamsikiliza sana huyo Mhe. Waziri wa Jeshi. Kwa kweli ametumia busara sana; anaelewa kabisa jukumu la Jeshi. I have noticed Zanzibarian are very transparent personnels and not dirty like CCM wa Bara. They can be good leaders. He is very straight forward on the point and transparent. This are the people tunahitaji kwenye Serikali. Viongozi wengi wa Zanzibari sio walafi wala waizi kabisa kwa sababu wanajua umuhimu ya Uongozi.
 
hakuna waziri wa jeshi ila kuna waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga taifa acha kuleta mzaha hapa kwenye jukwaa la siasa!!
 
Back
Top Bottom